Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Katika kuonesha kweli Huawei imejidhatiti, Huawei imewahaidi wateja wake kuwa simu janja zao mpya zitaanza kupata OS yao,yaani mfumo endeshi wao kuanzia msimu wa mapukutiko, yaani Autumn. Sio...
16 Reactions
104 Replies
10K Views
Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mwєnчє αdѕєnѕє αccσunt ílíчσtσα mαrα kαdhαα αjє kwα вσх tufαnчє вíαѕhαrα chαααp!
0 Reactions
2 Replies
528 Views
naombeni msaada wenu jinsi ya kupata link za magroup ya WhatsApp ya mambele
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Msaada wakuu simu ya LG X7 inasumbua kwenye internet ipo slowly sana. Tatizo linaweza likawa nini?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
July 05, 2016 The biggest space event of the year is happening soon. On July 4, NASA’s un-crewed Juno spacecraft will end its nearly five-year journey through space and embark on a mission to...
12 Reactions
146 Replies
34K Views
Habari za muda huu... Nimekuwa nikibadilisha badilisha sana baadhi ya simu kutokana na mapungufu niyakutayo ndani ya simu baada ya kuzinunua na nilikiwa siwezi kukaa na simu zaidi ya miezi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Nafurahi kuona vija wengi wa kitanzania wanajikita katika suala zima la mambo ya cybersecurity, kwani ndo ulimwengu tunao ishi sasa. From leader and C.E.O @ TaNzAnIaN-HaCkErS.!
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo. Kuna Namba Nahitaji kujua ipo mko gani au wapi, mana napiga haipokelewi toka juzi. Note: sio mke wala mpenzi Natanguliza Shkrani
2 Reactions
24 Replies
12K Views
Hivi karibuni,Dark mode imekua enabled kwenye recently update ya google chrome sio tu kweny PC hata kwenye Android. Hivyo unaweza enjoy device yako wakati wa usiku pasipo ku enable night mode...
7 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakuu habari Nime uninstall uc browser bahat mbaya limefutika na data zote hasa nyimbo zangu zaidi ya 2gb nlizodawnload kupitia hiyo browser Naombeni msaada kwa alie mwanza anaeweza nisaidia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dunia ya leo usipokua mjanja na mpekuzi utageuzwa mtaji na wenzako kila siku, Matapeli wameongezeka, wezi wamejaa, watu wenye kila aina ya mbinu za ulaghai n.k n.k. Katika Maisha nilishawahi...
5 Reactions
22 Replies
11K Views
Wakubwa habari za muda.... naihitaji ads ac. iliyotoa walau mara 4.... Natanguliza shukran
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Ya Asubuhi...? Nahitaji RAM DDR 4 ( PC 4), Kwa Aliyenayo Hata Kama Ni Used Tunaweza Tukawasiliana PM. Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari wakuu Naomba mnielekeze jinsi ya kupost kitu Instagram at the same time Facebook page
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu. Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings. Hiki kitu kinanizuia hata kudownload...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wadau Siku za nyuma kidogo TCRA walianzisha mfumo ambao unakuwezesha kutuma imei namba kwa sms ya kawaida kwenda 15090 kisha wao hukujibu kwa kukutajia model ya simu yako...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kufahamu frequency za Itv Tbc Star Channel ten Tv Imaani kqenye C band
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom