Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
PC yangu ina tatizo la baadhi ya software kama Dev c, Microsoft Point, Excel,Word nikifungua nikaanza kutumia kimfano kwenye Microsoft PowerPoint nikihitaji ku Insert picture inafail inatoka...
0 Reactions
5 Replies
844 Views
Aisee Hawa jamaa wametisha Sana, hii flagship inategemea kua released siku ya Muungano mwaka huu. Ni balaa sana...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari wanajukwaa! Kama heading inavyojieleza, msaada wenu Jinsi Kufungua Tecno Spark 2 maana Mdau Kasahau Password. Natanguliza Shukrani zangu za dhati Kwenu!
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba msaada wadau... Namna ya kuweka menu kwenye blogspot!!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba mwenye ujuzi na digital radio broadcasting alete nyundozake hapa ili watu wapate darasa maana huko ndiko tunakoelekea muda si mrefu
1 Reactions
0 Replies
657 Views
Naomba msaada kwa mwenye ujuzi la hili. Natumia Whatsup aina ya GB namaanisha GBWhatsup . Karibu wiki ya pili nimekuwa barned kutumia nabata notification kwamba hii sio official watsup bali ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Nina Powerbook g4 ambayo imekufa HDD nimejitahidi kureplace HDD mpya ukiwasha kinakuja kibahasha chenye question Mark ila nashindwa Kuinstall mac OS X maana sina installation CD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
10 Reasons For The Importance of a Website Reason #1 – Online brochure Companies spend millions creating brochures and distributing them. By having a website you can skip that entirely. Your...
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wote mnakaribishwa kweye group whatsap kwa ku share idea.. Karibuni katika group linaitwa Mafundi amplifier|pamoja bofya hio link hapooo[emoji117][emoji117]...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Location Dodoma, nahtaj iPhone 6+ 16GB offer yang ni 430K
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Habari wa teknolojia, Naomba mnisaidie mawazo na ushauri ni namna gani naweza jifunza designing ya graphics. Kwa sasa ni mwajiriwa kwenye idara ya communication hivyo nimegundua nahitaji sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nifaham jinsi ya kuziunganisha ic mbili za tda moja itumike kama woofer nyingine itumiKe kama tuita wakuu nisaidieni wajuzi
0 Reactions
44 Replies
8K Views
MSAADA, NAMNA YA KUDOWNLOAD GAME ZA P3, NA KUZIINGIZA KWENYE PS, PS ikiwa imechipiwa, naomba nijue step by step wakuu,asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kuna mjuzi ambaye anajua nitapata BlackBerry Z10 battery yake maana nimetafuta town nime-give up
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Habari wadau mimi ninatumia sumsung j7prime nime download nyimbo kama 20 na aplication wasap, istagram, c.scaner, vidmate imejaaa hamna nafasi tena. Nikitaka kudownload kitu inaniletea option ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Halow wana jf,, Nilikuwa naomba msaada wenu napenda sana kusoma vitabu hasa motivation books lakini nashindwa jinsi ya kuvidownload kwenye laptop... Naomba msaada wa website zinazotumika...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kompyuta imeroga
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habar wakuu Naomba mnifahamishe cha kufanya Nina Tab E Model no SM T-561 Android version 4.4.4 kuna baadhi ya app nikiweka inaniambia not optimized to your device au not compatible...naomba...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Samahan wakuu nataka Ku update Nokia Lumia 520 lakini nikisearch update naipata ILA inanitaka nidownload kupitia WI-Fe, Nikiconnect na wi-fe wala hai download updates . nikitaka nidownload...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Back
Top Bottom