Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Katika kile kinachoonekana kujidhatiti, Huawei imeanza kutumia mfumo endeshi wake kwenye baadhi ya simu zake kama sehemu ya majaribio. #Huawei has reportedly shipped out a batch of smartphones...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu najua kuwa humu kuna watu ambao wanaujuzi wa ku create app kwenye android studio. Ila mimi ni bigginer ila napenda sana kutengeneza app Teali nimesha download Android Studio na kuinstall...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapendwa,natumaini mu wazima.Nilikuwa naomba MSAADA wenu wa kuelewesha jinsi ya kutumia *MacBook* hasa kwenye upande was kudownload WHATSAP kupitia appstore ya MACBOOK ,nikijaribu kudownload...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Waungwana Naomba kujua na hawa Continental wamehama au? Wale ndugu zetu wa Ipp wamehamia intelsat22 @72.1e
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu natumaini hamjambo! Nakuja hapa jukwaani ili tujifunze mtandao wa airtime ujulikanao kama GeoPoll unaotoa muda wa maongezi pindi utakapojiunga kwa kupitia application yao.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nina channel yangu lakini bado haijakamilika ipasavyo... Katika upande wa subscribers tayar nimefanikisha ila bado watching hours. Kwa mtu anaweza kufanya recomend ya channel au kupromote...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Kufuatia vita ya kiuchumi inayoendelea katika ya Marekani na China ambayo imepelekea kampuni ya Huawei kupata ban ya kutumia Google Apps & Facebook Apps..Founder wa Huawei amedisclose kwamba kama...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Wana jf habari wakuu, naomba msaada wa mtu anaejua jinsi ya kupakua movie ilizotafsiriwa kwa kiswahili, asante
1 Reactions
10 Replies
93K Views
WANA JAMVI HESHIMA KWENU,NAOMBENI MSAADA WA LINK YA PC PROGRAM AIDHA PINNACLE STUDIO AU ADOBE PREMIER PRO AMBAZO ZIPI ACTIVATED TAYARI AU ZIPO CRACKED,NIMEJARIBU KUTAFUTA KWENYE SITE MBALIMBLI...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, laptop yangu inegoma kuBoot halaf inasema HARD DRIVE IS NOT INSTALLED. Nimeweka flash kama external drive inasoma lakini haina Windows. Na sina wataalam karibu au pahala pa kupata windows...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wadau naombeni msaada anaweza kuweka window kwenye computer ya Macbook Pro anisaidie nitatoa offer. Anitafute kwa namba hii 0788488928, msaada tafadhali napatikana pande za Dar
0 Reactions
14 Replies
3K Views
XIAOMI REDMI NOTE 2 DUAL SIM Network 4g Display 5'5 Storage 16gb Ram 2gb Camera 13mp Selfie 5 Bei 120000/-
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Wanafunzi wanne kutoka Mexico wametengeneza koti ambalo wanadai linaweza kuzuia mtu kuvamiwa. Mikono ya koti hilo linaweza kutoa mshtuko wa umeme utakaomfanya mtu yeyote aliyeligusa kushindwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nime edit PDF online kwa kutumia "PDF filler" account sasa Inakataa kusave edited file kwenye PC, Inanambia niweke payment method like mastercard number or paypal account Info wakati yenyewe ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu! Ni laptop aina ya hp elitebook 8440p, ilikuwa haina betri umeme ukazima baada ya kuwasha ikawa inaishia kwenye mistari kama picha inavyoonekana.... Ukizima na kuwasha tena inaandika...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau heshima Yenu,Nimeamua kutengeneza System/Database itakayoweza kuhifazi taarifa/kumbukumbu mbalimbali za waumini kwa madhehebu yote ,yaani mfumo unaweza kufanya kazi kwa dhehebu lolote.Mfumo...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana Jf mwenye uwezo wa kuswap number ya mtu msaada plz( Kiswahili fasaa anayeweza kuchukua mawasiliank ya mtu msaada wako plz)
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahisi nimepoteza kazi yangu kizembe sana! Kuna document nilikuwa naiandaa online kupitia www.offidocs.com kisha kwenye kusave nikachagua upoad to google drive. Ilivyomaliza ikaniandikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaa ninakwama hapa nina kadi yangu ya visa ya crdb hua naitumia kufanya miamla mbali mbali online sasa changamoto imekuja nataka nilipie lav software flan bei yake ni usd 75 kila nikijarbu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari zenu. nna compyuta nmeirestore jana lakn tangia nilipoirestore nkiiwasha na kugungua program inaload sana inaweza kuchukua hata lisaa.programm nyingne zmegoma kugunguka...
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Back
Top Bottom