Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu salaamu. Nimekuja kwenu kujua naamini humu kuna maduka ya simu na waliowahi kununua. Kuna ndugu zangu huko mkoani wanataka wamiliki shida wametuma vilaki. Nipo busy kidogo naomba kujua ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu humu kwenye jukwaa.kama kuna mtu ana utaalam na mambo ya electronics projects kwa level ya degree ani pm...nina shida ya kuunganisha arduino camera na wifi module ipeleke kwenye web...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Kama kuna mtu anafahamu namba ya huduma kwa wateja ya halotel tofauti na 100 anijulishe
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Naomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu
1 Reactions
64 Replies
12K Views
Naomba Kujua kama Galaxy A700H ya 2015 yenye OS 6.01 Inaweza kuupgradiwa zaidi i.e kwenda 7/zaidi?
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Wakuu heshima iwe kwenu niko hapa kuomba msaada kwa anayefahamu app kwenye simu za android inayotumika kutengeneza matangazo yaani kuchanganya sauti kama vile matangazo kama ilivyo virtual dj
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Habari za mchana wapendwa hongereni na swaumu kwa waislamu wenzangu Nina iPhone yangu ilizima gafla tu nikapeleka kwa fundi akaniambia ni betri nikanunua betri lakini haikuwaka mpka akaiboost...
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Wakuu poleni na majukumu, nahitaji kununua PC nimekutana na hi kwa 600k vipi iko poa ama kimeo.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wanateknolojia. Nimenunua modem mpya (3.5G HSUPA, 7.2Mbps), SIMCARD inadetect, tatizo lake mnara hausomi (inaandika x sehemu ya bars za mnara). Nini suluhisho la tatizo hili? Natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Simu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF? Hili ni wazo nimekua nalo kwa muda kidogo, ila nilihitaji kujua ni vitu/mambo gani ninahitaji kuwa nayo ili nianzishe biashara ya website na software development? Nilihitaji...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za humu natafuta mtu ambaye anaweza kutengeneza electronics project kwa level ya degree.kama yupo nipm
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya aina gani mngepenga kujenga. Ninataka kujua hamu na akili wa ndugu zangu Chagueni bayna nyumb A) B) C) D) E) F) G)
0 Reactions
1 Replies
37K Views
Jamani nisaidieni tatizo la simu yangu nilikua mtandaoni katika kuperuzi ikaganda tu ghalfa nikatoa betrii kuiweka ikawa inawaka tu tecno basi yaani hata niiache siku nzima itakua hivohivo tu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani tuache ushabiki na kutofuatilia haya Makala kutoka kwenye magezeti Kuhusu microchip ni kuwa inaitwa RFID (Radio frequency Identification) amabyo inawekwa kwenye mwili wako kwa ajili ya...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Najaribu kufungua pes 17 inaniletea maandishi hayo sijui shida nini wazee wa pes msaasa p'se
0 Reactions
1 Replies
851 Views
nataka kununua laptop inayoweza kucheza gemu kalikali mfano;GTA 5 ,PES 19 nk. Sasa nataka kujua iyo laptop iwe na sifa gani mfn labla Ram nk.
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Kwa kupitia menu yao ya halopesa,yaani *150*88#,kisha namba 3 yenye vocha na vifurushi,kisha namba 2 yenye mega bando, halotel wanakupa mb 500 na dkt 50 kwa siku kwa sh500,1gb na dk 100 kwa wiki...
21 Reactions
217 Replies
21K Views
Unaweza ukawa na watu kibao au magroup mengi katika whatsapp ambayo yanaweza kuleta usumbufu kutokana na picha au video zinazo tumwa. Kama hauhitaji usumbufu huo na husingependa picha au video...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Back
Top Bottom