Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba mwenye uwelewa na aina hii ya printer anipe ufafanuzi(ubora,madhaifu pamoja na bei ya wino wake na bei yake)
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi sasa matumizi ya Smartphone au simu kwa ujumla yamekuwa kwa kasi sana duniani kote, Kuongezeka huku kwa matumizi ya simu pia kunaongeza aina mpya ya uchafu unao tokana na mabaki ya simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salam wakuu kwa wale mafundi na wauzaji wa printer na photocopy machine naomba mnisaidie wapi naweza kupata hicho kifaa asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu niaje, nina simu yangu ya IPhone nikipiga ussd code mfano *102# inapiga moja kwa moja simu kama unampigia mtu badala ya kuleta menu, Yaani hiyo *102# inakua ni kama vile nmepiga simu Wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
6. KUHARIBIKA KWA UBAO MAMA (MOTHER BOARD) Ubao Mama(Motherboard), hii ni Saketi ambayo ina muunganiko wa “chip” Zaidi ya moja. Inaitwa Saketi kwa sababu inatumia umeme wa moja kwa moja (Direct...
3 Reactions
16 Replies
8K Views
Hello guys leo ntawafundisha jinsi ya kupiga pesa online bila chenga, Njia yetu itahisiha c.p.a kwa kirefu ni cost per action COST PER ACTION NI NINI? Cost per action ni mfumo ambao kitendo...
2 Reactions
7 Replies
14K Views
Habari wana JF, leo ningependa kushare na nyie njia mpya kabisa ya kubadilisha kompyuta yako ya zamani na iweze kutumia Android, Njia hii sio kama zile ambazo unatumia Emulator kama bluestack na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
https://gadgets-africa.com/2019/05/19/huawei-loses-android-google-services-us-ban/ Wamiliki wa simu za kichina wajiandae kisaikolojia.
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Niaje wazee Hope mko poa!! Kwa nyakati hizi za likizo nimeona bora nifufue Machine yangu hii niwe napiga games kusogeza muda kidogo. Machine hii kama inavyoonekana uwezo wake sio powerful...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimeunda amplifier nimetumia tda2030 na tda2050 ni nzuri kama inavyoonekana pia inatoa sauti nzuri tena ya kutosha.. Ila nilichotaka kusaidiwa ni kwenye ile system ya SD card inayo toa small...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Dirisha kufunguliwa hivi karibuni
0 Reactions
0 Replies
744 Views
UPDATES 09 October 018 Nilicancel project kutokana na wadau kutokuwepo au kuwepo lakini hawalingani na nilichokuwa nikihitaji, lakini project sijaiterminate hii project bado nipo nayo na...
12 Reactions
51 Replies
8K Views
Msaaada wenu jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi sio mjuvi wa simu za iPhone. Ila kwasasa nataka nijaribu kuzitumia. Ipi ni toleo zuri katika mfululizo wa matoleo ya iPhone 6? iPhone 6 plain iPhone 6s iPhone 6plus Na vipi ubora wa betri...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Namiliki gari aina ya toyota vitz wakati natoka nyunbani naenda kazini nkapiata pale mataa ya kamata kwa mbele pale ambapo wanatengeneza mwendo kasi.Maji ni mengi umo ila wakati napita gari yangu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam wakuu na ma tech moguls wote, Straight to the point,naomba msaada wa ku-unlock hii router ya Vodafone R207-Z pocket wifi niweze kuitumia kwa mitandao mingine. Nlijaribu site ya Huawei modem...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Habari za J3 waungwana, Nahitaji kununua fridge kwa matumizi ya kifamilia nyumbani. Nipo Kigoma mjini. Nimejaribu kufanya window shopping, lkn kwa maduka yote niliyopita nimekutana na Fridge za...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Wasalam ndugu wana bodi, Natumai miongoni mwetu humu ndani wako wabobezi wengi sana wa maswala ya mifumo ya computer. Hivyo basi naomba kuwasilisha tatizo langua kwenu wataalam Wa maswala haya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Hivyo ndivyo TV yangu LG LED TV Ina display mara baada ya kuiwasha.Naombeni msaada went maujanja na hii situation,nina solve vipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom