Latest Firefox Release is Faster than Ever
Marissa Wood May 21, 2019
With the introduction of the new Firefox Quantum browser in 2017 we changed the look, feel, and performance of our core...
Habarini wakuu,
Kungekuwa sub-jukwaa ya Tech, Gadgets and science inayohusika na mambo ya practice ya developer, programming and AI.
Maana kwa sasa imekuwa shida kweli kupata & kuweka madini...
Habari zenu ndugu zangu, mm ni Muhubiri wa injili nina mission ya kuhubiri injili vijijini kusikoweza kufikiwa na watu wengi, naomba msaada wa mtaalamu wa kutengeneza matangazo na vipeperushi yale...
Naam, watalaaam. Kabla sijakitupa naomba ushauri kama kinatengenezeka, Nikiwasha tu kina reobot mara kwa mara na mara nyingine hata nikiweka power hakiwaki, naomba msaada wa kifund. Kikikubari...
Wakuu Salaam,
Kuna kitu nimeona kinatokea ambacho hapo awali hakikuwepo.
Nina friji yangu nyumbani siku za hivi karibuni imeanza kutoa maji maji sehemu ya juu kwa nje, nimejaribu kuichunguza...
Kwanza naomba tu nikiri the last time nimeangalia data za kampuni ambayo inauza units nyingi kwenye flagship zake duniani ambapo ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka huu, mpangilio ulikuwa ni kama...
Wakuu wa hili jukwaa.
Nimeagiza simu ya Huawei P30 Pro toka China, ghafla naona taarifa kua Google hawatakua wakitoa updates kwenye hizo simu kwa sababu ya mgogoro wa kibiashara na China.
Sasa...
Habari wana jukwaa Now days kuna vijana wengi walojikita katika web development some wanafanya vizuri some wanahitaji kujifunza zaidi so lets share website mbalimbali zilizokuwa developed by...
Habari Wadau wa Tech!
Kusema ukweli Kampuni ya simu na BAADHI ya vifaa vya kielectronics ya HUAWEI iko kwenye wakati MGUMU sana.
Nanukuu moja ya Technician wa HUAWEI baada ya kuulizwa mna malengo...
Wakuu uzi huu ni maalaumu Kwa kuwajulisha MB za internet za za chuo TTCL nafuu. Nimehama halotel maana nimemaliza pesa Sana baada ya halotel kuongeza gharama zao.. Vijana karibu TTCL laini za chuo.
Habari zenu wadau, naishi Arusha nahitaji laptop kwa ajili ya Gaming aina ya HP. Ambayo ina specifications angalau zifuatazo:
CPU Core i7 au i5 6th gen na kuendelea,
Kioo 15 inch na kuendelea...
Kujenga nyumba ya ghorofa 2 Tanga. Inachukua muda gani na pesa ngapi. Ghorofa ya kawaida na ghorofa ya kwanza. Lakini si nyumba ambao wanazozijenga kwa kawaida, kama nyumba huko India au Asia ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.