Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa , hii mnaionaje kwa kulinganisha na gharama zake
Sent...
Nahitaji mtaala wa kufundishia watu kutengeneza simu kwa software yaani kuflash simu kwa jina la kimtaa.Atakaye nipatia mtaala wa elimu hiyo atalipwa na pesa iko hata sahivi.
Kwa mawasiliano ya...
Habari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji...
Wadau mnisaidie kuhusu haya maswali yananitatiza.
1.State some command which you can use to recovery window from problem.
2.what's restore point??
msaada tafadhali!!
Habari wapendwa..Nina pc yangu aina ya hp probook 4420s ina tatizo la kufuta files, niki jaribu kufungua file baadala ya kufungua ila ina lifuta file na kuna mda keyboard ina stuck kuna mda pia...
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
Rockstar wametoa minimum requirements za GTA V kwa PC, hebu ziangalie kama computer yako itahandle hili game.
Minimum requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit...
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
Huko Indonesia watalaamu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo ili kuokoa mazingira ,mifuko hiyo unaweza kuloweka kwenye maji na ukaunywa kama juice kwa taarifa zaidii.....>>>
Habari za leo wan jf
Nina website zifutazo
Ambazo zinahusiana na kilimo
Ambazo zinahusiana na bisahara
zinahusiana na mambo ya mziki
iko full cha kufanya wewe ni kununua tuu domain,na hosting...
Hello Techs,
Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho.
Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina...
Habari wakuu
Naomb msaada kwa mtu mwenye softwares za kueditia VIDEO na mazagazaga yote yanayohusu VIDEO EDITING....nipo dar es salam
Naomba msaada tafadhari.
Samsung Safety Truck Technology iliyozinduliwa nchini Argentina na kampuni ya Samsung Electronics Argentina na Leo Burnett (Partner). Dhumuni kubwa la teknolojia hii ni kudhibiti na kuzuia ajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.