Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu hapa BongoLand naona hazijafika ila ninaziona Mtandaoni kama Ebay, Na kwingineko vipi Ubora wake? Japo nimeona hizi Laptop ni very Expensive sana nilivyocheki Mitandaoni sidhani kama kuna...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanandugu ikiwa imepita takriban miezi mitatu toka kampuni ya Samsung kuzindua simu zake za S10, S10 plus na S10 5G ikiwa na vitu vipya pamoja na technologia ya hali ya juu. Kwangu mimi ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau tunafanyeje hapo mwenye simu amesahau kila kitu msaada wenu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nini maana na tofauti kati ya kozi hizi mbili ITC na IT
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari Wadau wa humu ndani mie Sina mda mrefu humu kama member ila nimekua mfuatiliaji wa Mambo humu kwa muda mrefu. Nimekuja hapa Naomba msaada juu ya Mambo mawili Kuhusu ms Excel 1...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Naombeni msaada. Nipo na simu hapa nahitaji kuiflash stock rom (stock firmware) bila box. Aina ya simu in Nokia N7 plus,lakini nilivoichunguza inaonekana ni fake..sio Nokia...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika vitu ambavyo vimechangia kupendwa kwa simu za Samsung hasa na wabongo ni jinsi ambavyo ulikua unaweza kubadili fonts mbalimbali. Hizo ni moja wapo ya font za Dusha ambazo ni maalum kwa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu nadhani uzi kama huu upo humu ila nmejaribu kuutafuta sijafanikiwa kuupata bt kama nlvotangulia kuutanabaisha hapo juu nahtaj msaada wenu nawezaj kuondoka kabsa haya matangazo maana kila...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufuta akaunti ya Jamiiforum kwamaana nikonazo mbili, Mbarikiwe!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naitaji kujua ni kwa jinsi gana unaweza download kwa kutumia iphone kama unavyofanya kwenye android ya kuweka torrent mfano, lakini pia kama umedown load video kwenye app ya ucbrowser unawezaje...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Asalaaam Wandugu, naomba kuifaham hii Simu aina mpya ya simu NOKIA EDGE, technologia yake, Apps zake, Na hata bei yake kama inawezekana.... Asante
0 Reactions
17 Replies
7K Views
habari Za Leo Mimi Ni mtumiaji mzuri WA whatsapp Napenda kusaidiwa kujua whatsapp ambayo ina ubora zaidi Ni toleo lipi ambalo liko vizuri Hasa Nilikuwa nahitaji Ile YA option YA kuweka alama...
0 Reactions
5 Replies
984 Views
OKAY hey guys ......thefreedom hapa leo nimeweka uzi huu kama kawaida yangu nikutoa tu angalizo hasa kwa wale watanzania wezangu ambao bado hawana elimu ya uelewa wa issue nzima ya hacking. wote...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
wakuu nahitaji njia za kupitia kujifunza namna ya kutengeneza banners brochures na posters mana ofisin kwangu kuna printers na mwenyew namiliki laptop pia kuna desktop za ofisin sasa huwa napenda...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Cv
Muundo mzur wa kutengeneza cv msaada
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Wakuu naomba mnisaidie kwenye ili Nina sim tecno W3LITE 4G netwok mode...mara kwa mara app kama twetter na facebook imekua inagoma kufanya kazi kwa sababu ya netwok....yan kwa mfano nikiingia jf...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
2583680769 Kama kichwa kisemavyo kama unafahamu namba hii ni ya nchi gani naomba msaada wako, aliyenipa alisahau kunipa country code ntashukuru sana nikipata msaada wenu.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za usiku wadau wangu? Nina shida moja nimeileta hapa jukwaani.King'amuzi change Cha antena Cha kampuni ya startimes hakitoi sauti na nimejaribu settings zote zimegoma na ishu Ni kwamba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KUHUSU PURPOTEDLY "VIDEO CHAFU" YA GWAJIMA Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanasema ni ya Gwajima. Nilikuwa ofisini leo, rafiki yangu akaja na kusema, "Umeona Gwajima...
6 Reactions
65 Replies
10K Views
HABARI WAKUU heshima iwe kwenu,naomba msaada wa kupata product key ya microsoft office 2007 inayakayoifanya ifanye kazi bila mizengwe...nimekwama plz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom