ni njia nyepesi na mpya Proof Document Verification:
This is the second step of the alternative adsense verification process, it's pretty easy and simple aswell. Just click on this link here...
Habari wakuu.
Nina simu yangu Lenovo A3860 ila inasumbua katika settings za Network Type. Kama kuna mwenye ujuzi juu ya ku unlock hii simu nikaweza itumia Tanzania kwa network ya 3G na 4G msaada...
Heshima kwenu Wakuu.
1: Nahitaji kujua kifaa mbadala chenye kazi sawa na charge controller kinachouzwa kwa bei ndogo isiyozidi 20,000/=, pia nahitaji kujua kifaa mbadala chenye kazi sawa na...
Kudukua haijawahi kuwa kazi rahisi. La hasha! Lakini watundu wengi wa kompyuta wanataka kuwa wadukuzi. Kuwa mdukuzi ni rahisi. Kitu kigumu ni kuwa mdukuzi mzuri. Leo ntatoa dondoo za kuwa mdukuzi...
Downloading Trick 2019
1) Download mod zronet form google
2) Open and verify with Airtel-tigo number
3) U will be given free browsing to ecobank,umb,fido, youtube and manymore.
4) Select...
Wakuu natumia infinix note5 Asee ni simu nzuri tuu inapiga kazi fresh ila shida nnayokumbana nayo ni kwamba baada ya muda inahalibu picture zinakua thunmbair hazionekan kama ilivopiga naomba...
Habari za muda huu Mabibi na Mabwana.
Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi.
Naogopa Ku UnInstallation...
Habari zenu JF
Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies...
Msaada nina simu yangu tajwa hapo juu lakini kwa muda mrefu nimeshindwa kuinstall facebook application na facebook lite. Huko nyuma nilikuwa nayo na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa. nilikuja...
wakuu habari zenu naomba msaada kuhusu contact kwenye simu yangu ya itei smart phone yaani inatatizo la kupotea na inachelewa kurudi mfano nikitaka kumtumia mtu sms au kupiga nikiingia kwenye...
Ulefone, Umidigi, Teeno, Doogee, Duoduo go, Sugar , ...
Ni aina za smartphone naziona sana aliexpress na bei yake ni cheap sana kulinganisha na specifications zake
KWA WANAOZITUMIA VIPI KUHUSU UBORA?
Wakuu habari.
Kuna email yangu ya Gmail nilikuwa naitumia zamani lakin niliisign in kwa sim tu na simu ile ikapotea na namba sikuirenew
Email hiyo sijaitumia kwa takribani miaka 6 lakin hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.