Nina mac book pro 2018 retina touch bar wakati naifungua asubuhi nili push screen na kidole ikunjuke hapo apo ikaweka carck na kuzima display crack inaonekana nikiwasha kompyuta nikizima...
kuna dell hapa ili corrupt window siku ya jan leo nimeshusha ila ilivizima kwa ajili ya kujirestart mara ya kwanza inawakia huku tatizo nini na naweza tatuaje
Natumia simu aina ya INFINIX kwa muda wa miezi 4 sasa lakini ni juzi tu namba zinazo tumika kwenye app ya WhatsApp hazina majina ingawa kwenye Contacts majina na namba zao zipo.
Nini solution ya...
Wapendwa nisaidieni nimeibiwa simu ambayo mpaka sasa iko hewani mtu anapokea na haongei na akiongea ananizungusha tu,je kuna jins navoweza track kwa kutumia iyo namba ya simu ?maana emai namba...
Nimekua na jambo linalonisumbua sana kuhusu hii technology yakua Mimi natumia simu yangu kwa mawasiliano alafu mwingine cjui anatumia App gani anapata kujua kila ninachowasiliana ivo Mimi kua Mic...
Hi Guys,
Niniweza kupata fundi Mzuri wa laptop as in hizi electronics mara nyingi ukipeleka kwa mafundi kanjanja ndio unakua mwisho wake.
Baadhi ya burtons kwenye laptop hazifanyi kazi na...
Samsung ana simu nzuri sana ila zinaongoza kwa kuvunjika vioo, shida ni nini ukilinganisha na simu nyingine kama tecno, huawei?
Je zipi ni hatua za kuchukua kuhakikisha kioo kinakuwa salama hata...
Nina Simu yangu nimefactory data reset inaniandiakia majibu haya CLICK ON THE IMAGE TO CONFIGURE YOUR INTERNET CONNECTION OR TO INSTALL APPLICATION YOU MUST HAVE AN INTERNET CONNECTION AND...
habari najaribu ku share kile nilicho kikuta chimbo chimbo kwa wale wana blog kama mimi ili tuweze fika hata malengo kama wenzetu wanao piga pesa kama dollar mia kwa siku na kuendelea.
MUHIMU...
I'm suprised na hiki nilichokiona kwenye mitandao mbali mbali. Itakumbukwa mwaka jana Q2 mpaka Q3 Huawei alitikisa sana soko la smartphones hasa kutokana na kurelease brand zake za huawei p20...
salaam wakuu
mimi ni graphic designer nnayehitaji kuongeza ujuzi wangu kwa kujifunza motion graphics naomba mtu anayefahamu chuo gani naweza kusoma course ya muda mfupi tafadhali nisaidie...
Yaani nimejaribu kupekuwa simu nyingi kwa kina nakuta inaonyesha. Simu hata iwe na ram kubwa vipi. Yaani tunapewa ℅ kama 30 tu. Nyingine inatumiwa na system. Hii imekaaje yaani app zinatumia 30℅...
Wakuu nimejitahidi kwa kila namna nimeshinda kupata hiki kitu, naomba mnisaidie mbali na kuangalia sms inbox njia gani naweza kutumia kupata tarehe halisi!
Nb: nimesahau password ya acc ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.