Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombeni msaada jinsi ya kuunganisha Facebook page na blog,tafadhali naomba msaada wenu mnaofaham hli swala
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hili ni swali ambalo imebidi niulize maana nmeshtushwa na jambo moja. Juzi nlikuwa na Unit 3.9 za umeme na nliacha TV ilipige kazi kuanzia saa 11 mpaka tano usiku. Taa tatu zilikuwa zinawaka feni...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuwa na ujuzi au elimu Fulani ni taaluma iwe ya kusomea au kujifunza kwa mtu anayejua vizuri taaluma hiyo. Lakini kinyume na hayo utakuta watu wengi kuonekana au kujifanya wana taaluma ya...
7 Reactions
35 Replies
11K Views
Wadau naomba anayefahamu app nzr ya kutengenezea online form yenye option nyingi ya simu na pc. Natanguliza shukrani Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaad kwa wajuzi ninitatizo na simu yangu Samsung S5 inajipiga yenyewe wakati mwngine hata kama naongea na simu utaona inajipiga huku naongea na simu hiyo hiyo, unakuta missed call ya namba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu wakuu...... Naombeni msaada simu yangu Samsung galaxy c5 imezima gafla...... Simu haikuwa na tatizo nmekuwa nkiitumia ila leo imejizima gafla......
0 Reactions
9 Replies
930 Views
Mnaonaje serikali kuhitaji vitu sensitive vya watu kama fingerprints ili tu kusajili line. Kwa nchi nyingine kupata fingerprints za mtu mpaka jambo liwe la msingi sana.
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimepata tatizo la simu yangu , mara ya mwanzo nilikuwa natumia facebook lite kama wiki imepita nikaamua kuistall facebook nabkuachana na fb lite. Baada ya siku tatu nikaamua kuinstall zote yaani...
0 Reactions
9 Replies
925 Views
Hello, Nahitaji kununua video projector (Home Theatre Projector) ambayo inawezakunifaa kwa matumizi ya nyumbani nikiwa Tanzania. Kuna anayejua brand ambayo spare parts (bulb n.k) na mafundi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu; Kuna tatizo linanitatiza sana yaani kila nikidownload baadhi ya nyimbo kwenye simu yangu baada ya Siku chache baadae nikijakuzitafuta tena nazikosa Yaani najikuta...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini wakuu. Kwa aliye na uzoefu kuhusiana na mambo ya utengenezaji wa tovuti hatua zipi nipitie ili kuwa na domain yangu Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
5K Views
msaada wa kuondoa hili tatizo pamoja na setting za interment za ttcl pia roaming icon inaonekan kwnye bar ya network
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za mda wadau Maitaji kujua kwa member anaejua zile microphone wanazotumia kufanya inteviws mtaan zinauzwa being gan na mwenye ujuzi wa kuzitumia Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hey members nlikua naomba msaada wa maneno haya na maelezo yake explanations/Definitions zake na ufafanuzi zaidi. 1.Synthetic Full Back ups 2.Mirroring 3.Reverse Incremental 4.Continuous Data...
1 Reactions
1 Replies
652 Views
Wadau kuna hii SMS Vehicle Tracking System ambayo ni device inawekwa kwenye gari yako then inaunganishwa na simu yako so unaweza ku-itrack gari yako popote pale wewe ulipo duniani au gari yako...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Kwa kweli nimechoshwa na hizi takataka za kichina. Yaani unanunua headphones unaenjoy kwa miezi 2 na zikijiitahidi miezi 4 basi. Ugonjwa ni uleule bila kujali brand name yaani spika moja inaacha...
3 Reactions
151 Replies
24K Views
Natafuta Ps4 used, iwe fat, slim sawa. Changamkieni fursa, nipo Moshi.
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Je una simu yako/modem/wireless router na kinatumia mtandao mmoja wa kampuni husika, mf airtel na ungependa kitumie mitandao mingine? * Basi kama jibu ni ndio naweza ku unlock kifaa chako au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu Kwa Mafundi Simu Na Mnaofahamu Ninapoweza Kupata Hicho Kifaa Na Bei Zake Kama Mtojali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, Nataka kuonesha Mpira kwenye Bar yangu. Sasa shida nataka nitumie king'amuzi cha DSTV kimoja nioneshe mechi mbili za Uefa kwa wkt mmoja. Yani King'amuzi hiko kitumike kuonesha mechi mbili...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom