Habari waungwana wa jf nina simu yangu samsung s7 tangu jumapili imeanza matatizo ya kuwaka na kuzima kuzima na kuwaka ata apa kabla sijaanzisha huu uzi imezima na kuwaka wakuu samahan nisaidieni...
Mara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si...
Wakuu,
Anahitajika mtaalam wa maswala ya computer hasa networking.
1) Awe na uwezo mkubwa kwenye mambo ya system security kwenye networking.
2) Awe na uwezo wa ku hack/ ku identify potential...
Habarini za jioni kwenye account zetu za adsense na admob tumeandikiwa hivi. “Your payout amount is more than your chosen form of payment can accept in your country. To continue getting paid...
Habari,
Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia.
Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Msaada tutani,
Napenda kazi ya kupiga picha. Je, ni vifaa gani muhimu natakiwa kuwa navyo kwa kuanza?
Je, nitumie camera aina gani yenye specification zipi ili niweze pata picha nzuri...
Habari wanajanvi,napenda sana gari hizi mbili,ila naomba kujua uimara na confotability yake unapokua barabarani pamoja na fujo za apa na pale,napenda mbio sana ila naomba nianzie na hiki,moja ya...
Wadau nakaribisha tatizo lolote linalotoka kwenye android studio na namna ya kuedit codes za android kwa kutumia software hii,karibu hapa tushare pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.