Habari wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza PS2 3 zinahitajika ziwe used au mpya chiped bei sio za kuumizana kwa hii hali
Location-Moshi/Dar/Arusha
Habari wakuu, kwa siku kadhaa nimekuwa kila nikiunganisha pc kwenye internet yanakuja matangazo ambayo sihitaji kuyaona na mengine ambayo yanaweza kunipotezea heshima (mfano: betting...
Kwenu wanabodi nimekuwa nikijaribu kutafuta zile frequency za kupata free channel kama CAM(chaneli ya kichina Africa), Dubai sports n.k nimekuja kuomba msaada kama kuna wajuzi wa kupata zile...
Habari za leo wataalamu!
Napenda huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya vifaa na technologia za
1. Audio
2. Audio Visual
Tasnia ya Musiki na Sinema ni Kubwa sana hasa ukiangalia mchango wake katika...
Nmejaribu sana kuangalia uzuri wake au ukisasa wake sijaona. Home mzee aliinunua Samsung Inch 49 Smart Curved TV. nmejaribu mara kadhaa kwenda weekend kuichunguza chunguza sijaona cha kunivutia...
Katika hali ya Kushangaza classmet wangu ambaye alikuwa mwanajeshi walioko uko Congo wakirinda Amani, amekufa kwa Kupigwa na Radi akiwa kambini. Walikuwa watatu Watanzania wawili na MCongoman...
Nimenunua simu last wk iPhone S5 in Switzerland lakini nashindwa ku install free app.
Nimefungua account ya Apple na nime activate. Sasa, ninapotaka ku install free app ninaambiwa account yangu...
Naombeni msaada wakali,najua kuna ndugu zetu wanafanya google AdSense kwa kuwa mabloggers hapa bongo na wanapata pesa za kuwapush,naomba msaada kujua wenzetu wanatumia mbinu gani.
Nawasilisha.
wakuu najua programmer wengi(current one) wanatumia notepad kutengenezea website lakini mimi nauliza kama kuna njia nyingine mbada ipo na kama ipo ukinipa mwongozo pa kuanzia itapendeza ...
Nilinunua simu ndogo Samsung fm radio laini moja nimetumia kwa mawasiliano na laini ya tigo kwa miezi mitatu sasa
Siku za hivi karibuni ilianza kukata mawasiliano na ikawa inaandika insert sim...
Habar wanazengo....nahitaji non hosted accnt iliyowahi kutoa zaid ya mara 3....mwenye anayo njoo kwa pm tuyajenge chaaap!
Sent using Jamii Forums mobile app
SHARING IS CARING
Habari za sasa hivi ndugu zangu wa JF, heri ya muda na siku nyingine katika maisha yetu.
Bila kuzunguka sana acha niende direct kwenye topic ya leo hii.. leo hii nipo...
Nilikuwa nasikiliza Amplifier ya Millard Ayo, ghafla nasikia tangazo la Tigopesa App na kugundua wamecopy na kupaste features za NALA app.
Ila mwaka Jana nilivyoiona hii app nilihisi kabisa hawa...
Natumia adobe premiere pro cc 2017,ktk kufanya grading mzunguko wangu unakua ni mrefu sana,ila kuna jamaa alinambia kuna luts ukiitumia njia ni nyepesi sana,hasa ktk kutengeneza kitu ktk uhalisia...
Haki miliki ya pichaEHT COLLABORATIONImage caption
Picha ya kwanza ya shimo jeusi . limezungukwa na gesi inayovutwa ndani na shimo hilo
Wanaanga wamefanikiwa kuchukua picha za kwanza kuhusu shimo...
Habari za leo wadau, nilikuwa naomba kujuzwa na mtu ambaye tayari ameshafanya project yoyote ya USSD au anajua mtu atakayeweza kunipa undani wa hili swala.
Ninataka kutengeneza application ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.