Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ebana nina hii tab 3 ambayo nilikuwa natumia ila kutokana na tatizo lake hili nimeamua kuiweka kabatini. Ni kwamba unaiwasha inawaka saaafi, ila ikashakaa tayari basi haipiti dakika ina restart...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafadhari naomba msaada mwenye ujuzi kutrace namba ya simu.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, mwenye activation keys za Kespersky Internet Security 2017 naomba pleaseee
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habar za mchana wakuu Kama kichwa habari hapo juu naomba msaada wa activation key ya window 8 Naomba kuwasilisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habr zenu wakuu. Natanguliza shukran kwa wote muliojukwaan. naomba ufafanuzi Wa galaxy note edge kuna Rafiki yangu anauza hii simu kwahiyo sijawahi kuzitumia hizi simu. Kwahiyo naomba...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Kila nikipiga unaniambia call barring msaada mwenye ujuzi sijui shida nini
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mchana wana jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni njia nziri kwaajili ya kuroot simu ya Tecno c7
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Picha ninazopiga kwa kutumia simu yangu na kuzihifadhi kwenye memory card 1. Zinaonekana vizuri tuu masaa machache baada ya kupiga picha hizo 2. Zinakataa kufunguka au ku-preview baada ya siku...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Nahitaji simu hizo mwenyekuwanazo tuwasiliane,mpya au ilotumika.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye hii simu naomba kujua kuhusu battery life na over heating status when playing games kwa hii simu aina ya Infinix note 4 kabla sijainunua.....na mengine kama yapo. Unajua kabla hujanunua...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Naombeni msaada kujua kati ya hizi simu sumsung j1 na Tecno w1 ipi bora zaidi maana nataka kununua moja Asanteni
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Naomba msaada mwenye kujua ku - activate win 7 prof, nimeistall ila inasema zimebaki siku tano.
1 Reactions
12 Replies
980 Views
Habarini wadau,Hivi nini kinasababisha anti virus kugoma kuwa installed katika kompyuta
0 Reactions
1 Replies
801 Views
AMANI IWE NANYI WANAJUKWAA... Mdogo wangu simu yake ya iPhone 2G ilishindwa ku-unlock kawaida... Ikabidi nipekue Google nijue tatizo ni nini. Nikagundua kuwa iko locked na inahitajika ku-update...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana nina shida sana na hyo email
1 Reactions
29 Replies
28K Views
Wakuu, nahitaji kujua kama kuna mtu au sehemu yoyote naweza crack hii "Huawei I E5573B" Mi-Fi ya Zantel. Nahitaji iwe universal kumudu gharama za bundle na uimara wa mtandao husika. Sihitaji kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye...
0 Reactions
2 Replies
645 Views
habarini wapendwa wote kama kun yeyote anayehitaji huduma ya ku downgreag, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an pm pia huduma ya kuweka games aina zote...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Nimejikita nashawishika na tangazo la gazeti la mwananchi la kudounload app ya QR-code kwa matarajio ya kupata habari kwa urahisi, nimejikuta si kweli, tatizo langu nataka ku anstore inagoma...
0 Reactions
6 Replies
987 Views
habarini wapendwa wote kama kun yeyote anayehitaji huduma ya ku downgreag, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an pm pia huduma ya kuweka games aina zote...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Back
Top Bottom