Jamani naomba msaada kwa mwenye uelewa juu ya hii dekoda manake nimeambiwa inakamata sport24 sasa nimehangaika mpaka basi lakini hamna mafanikio. Mwenye uelew juu ya kuipata sport24 kwenye aina...
Wadau naomba kupata ufafanuzi wa bei za vifaa hivi vya computer maana tulio pembezoni mwa miji mikubwa ni changamoto kuvipata.
Ram 4gb DDR3
Internal Hard disk Drive SATA 500gb/1tb
Adaptor watt...
Wapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!!
Naomba msaada wa namna IPI niitumie kuzuia simu yangu kupokea miito( calls) ilihali Niko hewani,
Nimejaribu kwenda play store app nyingi nikipakua na...
Hello,
Hii Tecno W3 SIM 1 ipo locked kwa ajili ya Airtel tu na inatumia 3G au 2G. Lakini SIM 2 unaweza kuweka line yoyote ila haitosoma zaidi ya 2G, ukienda katika SIM settings huwezi Ku switch...
Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi...
Wataalamu
Nilikuwa napenda kujua ni kampuni gani naweza kupata huduma ya Wi-fi nyumbani kwa gharama nafuu!! Na kwa matumizi ya mtu mmoja au wawili!! If possible niitumie ktk Smart Tv.
Asanteni
Heshima kwenu wakuu wangu:
Kuna network moja nafanya nayo kazi online sasa imefkia hatua ya kupokea payment na wanataka kutuma kwa cheque lakini wamesisitiza niulize kwanza je naweza ku cash...
Tunapenda kuwatangazia wale wanaopenda Kujifunza Kuandika Code kwa Java na Kuweza kutengeneza mobile application kuwa Tutakuwa na Kozi Mbili moja ikianzia October 25 na nyingine Itaanza Disemba...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Kama Ilivyokuwa QADARI Ya Allaah, Leo Tutajaribu Kuelekezana Njia 2 Za Ku Screenshot Kwa Kutumia VLC Media Player
Na'am, IKO HIVIIIIIII
Kabla Ya...
kuna jina nilikuwa natumia sasa naona imefika kipindi sivutiwi nalo nataka nibalishe jina la blog linalo display mbele ya msomaji wa blog naomba msaada natumia blogger
Kuna watu wanasema russia hawezi kupambana na U.S, kiukwel marekani na NATO kwa ujumla wanauwezo mkubwa lakini hawako tayari kwenda kupambana na russia maana hawatabaki salama, na kunauwezekano...
Shukran zenu wakuu Jana nilidownload IDM latest version nilipoinstall ikaniandikia your registered with fake serial number alafu inaleta kameseji ka kuhitaji
First name:.................
Last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.