Waungwana kama kichwa cha habari kinavyosema.
Kuna ubishi huku leo tumebishana sana kuhusu uwezekano wa kubadili processor.
Je hili swala linawezekana kwa laptops?
Nawasilisha
Wadau WA jf, kuna kitu kwenye simu kinaandika screen overlay protected, kinazuia apps nyingi kufunguka, nifanyeje nimeshindwa kukiondoa Kwa maelekezo yanayoonyesha
Nisaidieni
Habari.
Wakuu kama kuna mdau amewahi kuflash hizi simu tubadilishane uzoefu. Yangu ina tatizo la bootloop, kwenye Recovery mode inaingia ila ukichagua chochote kile inajireboot.
Nawasilisha.
Ndugu wanachama nimei-developed hii application mpya ya Jamiiforums inayofanya kazi katika simu za android zawadi kwa wanachama wa Forums hii muhimu kwa Jamii yetu.
Check out "Jamiiforums...
Habari wana JF... nimejaribu kutafuta MS Office kwenye torrents, matokeo yake napata vitu visivyoeleweka... msaada wenu tafadhali any trick I could use to get a free MS Office! au a link maybe
Habari ya wakati wana Tech baada ya kupitia coursera, edx na free code camp nimekuja na portifolio yangu nimeitengeneza kupitia code pen na kutumia bootstrap niki view kwenye PC UX/UI zinakuwa...
Habari za majukumu,
Kuna note 4 ambayo ina custom version ya android 5.1.1 hivyo inakataa kwenda android six kwa kupitia OTA, naomba msaada wa kupata official android 6.0.1 ya note SM N910H ili...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH.
Husika na kichwa habari, Hivyo basi ili kufanikisha hill, huna budi kutazama video hapo chini
Ahsanteni Sana.
Habari wana JF!
Leo nachukua nafasi hii kuitambulisha Yuotube channel ambayo tutaenda kujifunza hatua kwa hatua web development na computer programming kwa ujumla!
Kwa kuanza nimeandaa video...
Habari za muda wakuu...?
Nimeletewa simu aina ya Acer liquid Z200 iliyokuwa ina tatizo kwenye booting; changamoto niliyoipata baada ya kuiflash na original firmware ambayo nimeidownload kutoka...
Simu yangu aina ya Lenovo X2Pt5 imekatika mkanda wa unaohusika na kuongeza sauti, kupunguza, kuwasha na kuzima,
Je naweza kupata mkanda huo au ndo basi tena ktk simu hiyo maana nimehangaika bila...
Habari ya jion wapendwa.,
application ya whatsap haifanyi kazi shida ni nini.
lakini ukitumia data tofauti na simu yenyewe ina fanya kazi kawaida i. e wifi.
MSAADA WAKO, ASANTE
Mwanaume utanashati bwana, na baadhi ya gadgets ambazo mwanaume yeyote anayethamini mwonekano wake wa nje anatakiwa kuwa nazo ni saa na simu.
Binafsi nathamini na napenda nionekane unique and...
Watumiaji wa Kitandao ya Kijamii ya Facebook na Instagram siku ya jana walikumbwa na mshangao baada ya mitandao hiyo kutopatikana kwa saa kadhaa. Tatizo hili liliwakumba watumiaji wa Simu za...
Habar wana jf. Nahtaji msaada kujua namna ya kutumia smart phone yangu kama keyboard katika kompyuta yangu. Angalizo natumia iphone pia desktop yangu czani kama inadrivers za wire less
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.