Wakuu Kwa Anayejua Hii MiFlat Screen Ya TCL Likigoma Kuwaka Unalifanyaje Au Ndo Hadi Kwa Fundi.
Maana Limegomea Hapa Tangu Jana. Inawaka Taa Nyekundu Tu.
Lilianza Kwa Kuzima Na Kuwaka Alafu...
habarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app???
pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa...
Habari za muda huu wakuu
Muda huu nikiwa nasikiliza redio one wakijadili mambo ya maabara katika shule za Tanzania
Mmoja wa wachangiaji amesema kuna wanasayansi maarufu duniani wanatokea Tanzania...
Wadau natumia tecno camon C9, nataka kuamishia docs zangu kutoka kwenye simu yangu ambazo ni texts, zipo watsup na nyingine Facebook, naomba nieleweke haziko kwenye media form
Nifanyaje
Asanteni
Wakuu kwa yeyote mwenye utaalamu na kuprint circuits kwenye copper board (pcb) hususani kwenye maswala ya copper board, chemical upatikanaji wake na bei zake nahitaji msaada.
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, kwa mwenye kujua jinsi ya kupata channels za kibongo nikiwa Iran kwa njia ya sattelite basi tupeane maufundi hayo.
Asanteni sana wakuu
habari zenu akuu
leo nilikuwa najaribu kuinstall kali linux katika pc yangu sasa kabla ya kuanza kuinstall inaleta ujumbe huu
msaada kwa yoyote mwenye ujuzi juu ya kutatua tatizo hili
Wakuu naomba msaada wa pc yangu yenye windows 10. Toka juzi iko slow sana nikitaka kubrowse. Ambapo awali ilikuwa fast sana. Naomba anaefahamu namna ya kufanya iwe fast plz anisaidie
Kuna taarifa zipo kwenye mtandao wa kupatana watu wanasema wanaweka channel za dstv kwenye ving'amuzi vya hapa Kwetu mfano Azam, star times nk,
Je, kuna ukweli kuhusu ilo? Maana inaonyesha jamaa...
Wajuvi wa mambo ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea kulisongesha gurudumu la maisha. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ni mzima na naendelea vizuri pamoja na familia yangu.
Penye...
habari za siku nyingi ndugu wa jf mimi ni blogger nipo na kablog kangu haka Zotekaliblog – The House of Entertainment News huwa napata mia ndogo ndogo namshukuru mungu miezi iliyopita nilipata U$D...
Habari wanajamii!
Nililinunua simu aina vodaphone smart bomba V301 line mbili sasa kwa upande wa data inataka tu voda haikubali niweke line nyingine ata hivyo data inatumia tu line 1 ambayo lazma...
Msaada kwa wenye uelewa na ili swala nlipiga picha kwenye cannon D90 nkachomoa memorycard nkaweka kwenye computer ili nikopi picha ikasoma afu ikatoka ikasoma tena picha 8 kati ya 80+ zilizokuwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.