Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hamjambo wakuu. nina swali katika upikaji wa kutumia gas kuna njia mbili ya kwanza ni ile ya kutumia jiko mara nyingi yana sehemu mbili za kupikia halafu hayana kelele njia ya pili ni ile ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu tusaidiane hapa . Nimeinstall pess 2017 vizuri kabisa ila wakati wa nalifungua ikaja hiyo Erro...tajwa hapo juu ...Kwakweli limedisappoint .. kifile chenyewe nakiona knwye Crack file...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza kampuni ya Microsoft imesema hadharani kwamba rasmi sasa hawatatengeneza wala kuendeleza tena mfumo wa Windows kwa simu janja (windows Phone OS). Taarifa rasmi kupitia mtandao...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Habari zenu Nimeanzisha uzi huu kwa lengo la kujuzana PHONE & COMPUTER TRICKS. Hivyo basi, yeyote mwenye kujua chochote kinachohusiana na PHONE &...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wakuu, Naomba wajuzi wa simu wanijuze simu nzuri inayoweza kumudu mikoani hasa mkoa wa mbeya, mtu anaetumia kuna mambo mengi ya Internet anatumia sana hasa youtube, ana uwezo wa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habar wanazengo, Bila kupoteza muda naombeni ushauri ambao naeza Fanya mwenyew kitu kikatik,... Ni hivi laptop yangu hivi majuzi kabla ya kudai kupigwa window upya imeanza kustack na ku-misbehave...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumia tecno y3 inasumbua kwa kuzima pindi ninapo weka laini nyingine ambayo sio ya tigo,Naomben msaada kutatua tatizo hilo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu jana nilijikuta( kibahati mbaya) nimefuta permanent file langu moja lenye mambo ya muhimu .yaani nilibonyesha shift +delete na kulifuta hilo file kabisa kwahiyo halikwenda kwenye Recycle...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Natumia simu aina ya tecno CX (camon ) imefika muda inanikera kidogo tatizo lake ni kwamba haiconnect USB kwa PC nimejaribu kuipekua kwa kina nikaset USB debug on nikaset USB...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nitaweza Vipi Kuroot Tecno Cx Air Yangu.
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Hatimae kampuni giant Microsoft wamekiri hadharani kuwa window phone Os haitakuwa na update tena pia wataachana na mambo ya simu,tutegemee update upande wa computer tu Kulingana na msemaji wao...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za jioni Wakuu Miezi kadhaa iliyopita niliibiwa simu yangu... kwavile niliinunua ikiwa full boxed nikafungua shtaka polisi na nilipeleka risiti polisi pamoja na Imei number Polisi...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
More iPhone 8 and iPhone 8 Plus units have come back to Apple’s service team, all of them sharing one issue: the battery has bloated to the point where the display has come away from the rest of...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Swali jamani Nina desktop yenye Ram ya Gb 4, sasa nataka niwe na Gb 8 bila ya kutoa hii ya sasa, je, naweza tafuta Gb 4 nyingine au Gb 2 mbili nikapachika??? Shukran sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba huuliza hii kampuni ya seebait inafanya KAZI VP Na je malipo yake yapoje Msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Bloggers, je matangazo ya seebait yanalipa? Naomba ushuhuda
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Mara nyingi sana tunaibiwa kuhusu kutambua memor OG na fake, Unaweza kukuta mtu anauza GB 32 kwa buku 10 tu,hapo kama ni mjuzi lazma ushangae,sasa baaaaas tumia App hii SmatSkills: Jinsi ya...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Iwe unapenda Kucheza kwenye PS,PC au kwenye simu... Iwe unapenda Pro Evolution Soccer,FIFA,Dream League Soccer,First Touch Soccer au unapenda kuwa kama timu meneja katika Top Eleven na mengine...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Flat sreen imetoa ufa, nahitaji Fundi anaejua kuitengeneza pamoja na bei ya kioo
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom