Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa kuroot aliyepo mbeya maana mimi sina uzóefú hívyo ñaógópà ómba mwéñye uzoefï àlíyepo mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
704 Views
Hello wajumbe, I hope weekend yenu ipo njema, Kwa kipindi kirefu nimekuwa nacheza hili game la fifa kwenye pc lakini niliishia kucheza ambazo zimechakachuliwa kwa hivyo sikuweza kucheza...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Tunahitaji mtu wa graphics a-design icons kwajili ya app yetu. Mfano wa icons tunazotaka ni kama huo hapo kwenye picha. Kila icon itakuwa inwakilisha kitu tofauti e.g. Contact, Schools, etc...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Naomba ushauri kwa wataalam na wazoefu wa laptop(pc), nahitaj kununua pc mpya ya dukani,Mini laptop yenye mlango yaani sehem ya kuweka cd, bajeti yangu ni laki3.Nje na chager capacity,hard disk...
0 Reactions
6 Replies
915 Views
Naomba msaada kwaanayejua njinsi ya kufungua simu za voda. Vodafone VFD 301" ambayo ni laini2. Ili itumie lain zote kwenye line 1
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Ushauri nahitaji kununua pc ni vigezo gani nizingatie kabla ya kununua,bajeti yangu ni laki3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasayansi Nisaidieni Namna ya Kupiga simu kupitiaa Modem yaani ni instal app gani kwenye PC ili nieze kueza ata kuunga kifurushi au kuingiza Vocha na Kupiga simu kupitiaa Hapo! Ahsanteni!
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu naombeni msaada kwa yule anayefahamu jins ya kupost video hapa, natumia cm ya iphone six. Asante
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumia galaxy s1. Mwanzo nilikuwa naweza ku-save files nyingi tu. Sasa imeanza kukataa, no enough space. Nikiangalia size ya content haizidi 250 MB. Internal SD size ni kama 1.5 GB. Nahisi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau nataka kubadili jina nalotumia facebook nifanyeje?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu naombeni msaada wa kuedit scanned document iliyo kwenye mfumo wa jpg. Nitumie nini niweze kuedit text. Nadhani nimeeleweka. kama ni cheti au kitu ambacho kina maumbo mengine tofauti na...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakuu kwa anaefahamu namna ya kuroot simu za vodafone vfd300 anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mada hapo juu inajieleza vzuri,, waheshimiwa naomba process za KUROOT simu yangu,, ntakuwa makin zaid ya zaid,, ahasante Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Mwenye nayo au link atupe tafadhali...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Jamani nimetumia simu aina ya Samsung MegaPlus GT-I9152p, ikiwa haijafikisha hata mwaka mmoja tangu itoke kwenye box, kuna siku (wiki 3 zilizopita) ilijizima ghafla, then ikagoma kuwaka kabisa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nashindwa kuhamisha app nilizo download kwenda SD card Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa jinsi ya kurudisha account ya facebook ambayo email yake niliitumia kufungua account nyingine,hvyo nikajikuta nimepoteza uwezo wa kulog in tena.... Nimejaribu kila...
2 Reactions
7 Replies
21K Views
HI NI KWA SIKU 91,BAADA YA HAPO UNARUDIA TENA HIZI CODES.. .>>KWA PC 4CH4C-PPFDT-NFK4B-45R69 >>>kwa android 95XKY-9HS4E-R315U-HVJZB alafu lete mrejesho..
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu nina shida moja yanisumbua nimeweka simu memory card nzima kbs Tatizo linakuja nikihamisha videos, audios, na picha kwenye hiyo memory card hazifanyi kazi tena kama ni picha ndo hazifunguki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa mimi naomba msaada wa ile program ya kuweka kwenye simu moja kisha inatoa taarifa za hiyo simu kama SMS, watsup SMS, calls zikiingia na kupata taarifa hizo kwenye simu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom