Habari wana jamvi!
Kabla sijakurupuka kuita fundi naomba msaada wa mawazo yenu fridge langu lina milango 2 mlango wa juu {freezer} ligandisha vizuri tu, lakini Mlango wa chini ambao huwa...
Habari wakuu..
1.Naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload Video kutoka katika Application.. Leo nilidownload SimuTv sasa kuna video nikataka ni download ila ikashindwa..
Hvyo...
Habari ya jioni wakuu. Nauza BlackBerry Classic ikiwa kwenye condition nzuri, ina chaja yake pia na battery inatunza chaji kwa muda mrefu hata ukuwa unatumia 4G kwa ajili ya data
Kwa watakao...
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology.
Nimepitia...
Wataalam
Simu yangu inakuwa full mara kwa mara, inanipasa nifute mapicha na video mengi ndio space inakuwepo, lakini baada ya siku mbili tatu inakuwa imejaa tena hata kama nimedowlod au nimesave...
Habari wana jamvi.
Hii ni taarifa kwa wote na wengineo.
Asubuhi ya leo nilipokea message kutoka number +15453, ikidai ni airtel Timza na walikuwa wanafanya tafiti kwa huduma ya airtel Timiza...
Anybody with a proper link to download cracked version ya hii game without rooting my phone, nimepata link kadhaa ila imagine una download more than 1 GB alafu mzigo haufunguki au unakua famba...
naomba msaada kama kuna njia ya kuboost post bureau fb page nimejaribu kulipia lakini nimeona napata hasara nimejaribu Mara mbili wanakwambia post itawafikia watu16000 lakini inafikia watu 3000...
Tafadhali mwenye kunisaidia, nimeiwasha laptop nikaweka flash disc nifungue folder ikaanza kama kufikiria, nimeisubiri lakini nilipotaka Ku move cursor ni click naona haitembei, wataalamu wa hivi...
Wakuu habari za mida hii.
Ninashida ya smart watch yangu ambayo nimeinunua China through Aliexpress, tatizo ni kwamba kila sim card ninayoweka napata ujumbe pale juu unaosema "invalid sim"
SHIDA...
Wakuu,
Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums...
Hili swali limekua likinisumbua kwa muda kidogo, hivi kwa nini graduates wengi wa information technology wanafikiria kutengeneza inventory system na kuziuza kwa wanabiashara bongo??
Nasema hivo...
Mambo viiipiii kuna picha fulani ambazo nimekuwa nikizipenda natamani kuijua hiyo app inayotoa picha za dizaini hiyo ...
Picha zenyewe nizile za kunga'aa sana lakini image zilizo nyuma hufubaa...
Mambo Vp wadau Nahitaji huduma ys SEO katika blog Yangu na kusetiwa vizuri site ifanye vizuri katika search engine kama vile google , bing nk. Nahitaji mtaalamu tufanye kazi kwa malipo
Remix OS..
Kwa wale wapenda operating system zenye feature mpya au ni watumiaji wa Windows lakin si kwa kazi kubwa sana kama za graphics na production nyingine nzito ila kazi zao zinabase zaidi...
Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi
Post sent using JamiiForums mobile app
Nimekua nikihangaika sana wakati ninapotaka kubadilisha laini za mitandao mingine kwenye simu yangu upande wa sim1, kila nikiweka huwa kuna maneno yanayojitokeza kama hivi " SIM1:unlock network...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.