Wadau habari za muda huu...kwa wadau wanatumia IOS devices/iPhones...accidentally nimedelete music app yangu yahani ile default music app ya apple (sijui kama ili ni jina sahii) lakini namaanisha...
Habarini ndugu, tokea Jana computa yangu inakua nzito kufungia mafaili na nashindqa kudownload vitu mfano video player au game au hats nyimbo, msaada pls
Kwa wale ambao wameshawahi kutumia myus.com naombeni mnielekeze matumizi ya hii account ya premium.
Ni kwamba ukisharegister na hii 60$ a year unakuwa --------- mzigo bure kwa mwaka mzima au...
Habar za Muda wadau, nina computer yangu HP Pavilion, mwanzoni ilikuwa iko poa sana, Lakini sasa sielewi kabisa,
Nikiweka kwenye chaji basi inafanya kazi safi tu, Ila umeme ukakatika au...
Nina samsung J5 yangu tangu juzi iko slow kiasi kwamba siwezi soma mesage za whatsap, na nikisend mesage ni kama nimesend bila na data.
Nimejaribu jana ku iformat ila naona tatizo liko pale pale...
Wakuu,habari zenu,kuna mdogo wangu ameifanyia hard reset Simu yake Tecno n2 ambayo amenunua tigo shop sasa baada ya kufunguka na kufuata hatua zote ili aweze kuitumia amekwamia njiani inaseach...
habar wakuu nimejaribu kutuma cv yang kwa email nikatuma pdf file lakini zinaishia kugoma tu
Kinachonishangaza wananambia niweke email ya mtu nayemtumia naweka
chini nakuta wameniandikia compose...
Ni zaid ya wiki sasa kila nikipiga simu kupitia line yangu ya voda inanilete Ujumbe huo "ACM limit exceeded" sasa sielewi tatizo. Na nimechukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kureset bado hamna...
Wakuu Nimeingiza game la pes 2017 ila nikitaka kulifungua naandikiwa " Unable to initiate stream Api" msaada tafadhari kwa mwenye kujua jinsi ya ku fix tatizo hili.
Natanguliza shukrani
Walianza kwa kasi kweli kwenye internet sasa hivi ni aibu hata kuzungumzia, customer care namba haipatikani, kwenye facebook ukilalamika hawajibu ila ukiwasifia admin anajibu fasta, utasikia...
Habari zenu wadau..... Nina printer tajwa hapo juu na CD yake ila imegoma kwenye laptop yangu ya acer aspire E1-510.
Naombeni msaada jinsi ya kupata software hii ambayo itafanya kazi moja kwa...
Habarini za mida kama hii...naombeni msaada wenu nilihamisha dish langu LA azam kutoka eneo moja kwenda lingine ..hivyo nimelipandisha juu LiMeleta signal ila Chanel zilizokuja sizo...
Kwa wale mlioroot simu zenu, sasa unaweza pata music player hiyo bora kabisa kupita zote ikiwa full version kwa kutumia Lucky Patcher
Karibu kwa maelekezo
Jaman samahann naomba mnijuze application ambayo itanisaidia kubadili sura halisi ya ki2 na kuifanya ilete mwonekano mwngne
Mfano ni picha hii imechenji kdg from original :
Complete and capable data recovery software for rescuing files under almost any conditions including: accidentally deleted files; damaged or formatted hard drive; lost/deleted partition; photo or...
Wakuu habari zenu?Poleni na majukumu! Naomba MSAADA nimepata tatizo la simu yangu niliflash custom ROM jana.Before niliformart kila kitu kwenye recovery mode then nilipotaka kuflash ROM mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.