Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wanajamvi, nina wazo la biashara ila nilkua nahitaj ushauri wa jinsi ya kulifanikisha wazo langu. Mimi naishi maeneo ya Gongo la Mboto DSM, sijasomea IT ila nina kaujuzi na napendelea...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kama kuna MTU anaweza nisaidia kudowload kitabu hiki bila kulipia kwa PDF
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi tumekua tukidharau au kubeza simu zinazotoka China. Mtu unapokuwa na simu ya Mchina basi watu watakutania na kukuona umenunua simu mbovu na ya bei rahisi. Lakini katika siku za hivi...
8 Reactions
42 Replies
20K Views
Tambua IMEI yako kisha ijaze kwenye sehemu ya kutafutia, baada ya hapo click UNLOCK Simple and easy. Fuata Link ifuatayo=> Free your phone
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Kwa anayejua software ya ku unlock simu ili iweze kutumia line zote Nitajie.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ningependa kufaham vizuri ni band ipi simu uwe nayo ndo iwe ina support TIGO au VODACOM 4G. maana nina simu ina support 4g lakin hapa tanzania haishik kabisa yaani. na kingine ningependa kutambua...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wakuu nashukuruni kwa ushauri nimefanikisha ku unbrick phone by sp flash tool kama nilivyopata muongozo kwa baadhi ya watu,tatizo limekuja sim one is not detected while other sim is detected.How...
1 Reactions
7 Replies
857 Views
Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kampuni ya Samsung Electronic ilitoa simu aina ya Note 7 na ikakubwa na majanga mengi sana ya kulipuka kwa betri na mpaka kupelekewa kupigwa marukuku. Utani sasa dhidi a hiyo simu Tazama utani zaidi
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu aina ya tecno boom j7 inagoma kudownload video kwenye browser. Tatizo nini wadau, msaada please.
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Wakuu nimelenga kufanya installation ya whatsapp katika Ipad 3. Nilivyofuatilia nikabaini kuwa ili kufanya hiyo installation ni lazima kuifanyia jaibreaking ( kuondoa vizuizi vya manufacturer)...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Jaman nauliza ni App gani nzuri kwa Dictionary ya English-swahili?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za sa hii? Naomba maelezo namna ya kustream free tv online kwa computer.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wadau, Ninatumia blackberry torch 9810, kama siku mbili zimepita imeanza tatizo ambalo nashindwa kulielewa. Kifupi ni kwamba screen yote imekuwa nyeupe na kuna maandishi rangi nyeusi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau.. Ninatumia laptop ya IBM T500 na kwa kawaida inakuwa na in-built sim slot ambayo unaweza kuweka kadi ya simu ya 3G kwa ajili ya kujiunga na data.. Sasa nimejaribu kuweka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wapi naweza jifunza graphics for funny?. Nina knowledge na Photoshop pia nina some ideas ya illustrator and little knowledge with indesign.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari waungwana, Nimekuwa nikitafuta namna ya kuunganisha computer system unit moja - watumiaji wanne au zaidi. Kwenye maduka nimekosa hivyo vifaa vya kufanyia connection, nimeenda ofisi moja...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau habarini za jioni Nipo dar...na nimeanzisha kibanda cha kuuza movie na series (Za ulaya na Marekani) kwa wateja hasa vyuoni.Sasa nahitaji kuteka soko kwa kutumia software ambayo kama nikimpa...
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Habari za muda huu wana JF. Napenda kuwataarifu kuwa sasa kuna decoda zijulikazo kama strong 4922 ambazo zipo vizuri sana kwa kupata chanel nyingi zaidi kuliko decoda nyinginezo...
1 Reactions
135 Replies
29K Views
Ukiachana na password ya kufungulia computer, kuna password ambayao hutumika kuweka usalama (security) ya computer kwa ajili ya virus, ku install program au kubadili progaram za computer, sijui...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom