Smartphone ni simu ya mkononi inayotumia "mobile operating system" kama vile "ios","Blackberry 10 Os","Windows mobile 10 OS","Android,Sailfish","Tizen" kwa kutaja chache inayofanya kazi kama vile...
Janani, anatafutwa fundi ambae ataweza kutengeneza local Network mkoani mtwara...
room ziko tano ambazo inatakiwa computer zake zote ziwe shared
kama uko vizuri ni pm
Mimi niko Moshi, Ninatumia DSTV na Azam. Niliweka Azam as nilihisi labda wataweza wakawa wanaonyesha EPL, Italy, Germany na Spain. Lakini hawajaweza mpaka sasa! Natumia DSTV kwa sasa ila...
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya...
Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje...
Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
habari za kazi waungwana
twende moja kwa moja kwenye topic.
siku za hivi karibuni biashara ya blog imekua ikikua kwa kasi sana hapa nchini kwetu.na vijana wengi wamekua wakitamani sana kuitumia...
WHAT WE’RE LOOKING FOR:
Disruptive digital ideas to improve the way that news is collected and disseminated.
By digital ideas, we mean tools or strategies that use the Internet, mobile platforms...
Cant be opened using the built-in adminstration account wakuu huu ujumbe unajitokeza sana ktk baadhi ya apps kama kamera,store na zinginezo natumia win 10 sasa niliwahi restart machine na kucreate...
kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?
Wakuu ni jinsi gani ya kutambua mtu mnayewasiliana nae kwa email hususani toka nje ya nchi mfano uingereza anataka kukufanyia wizi au utapeli wa mtandao.Mwenye mfano toa!maana kuna jamaa yangu leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.