Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu Simu yangu imekuwa na tatizo ya kudownload up automatically alafu zinahitaji Uzi install ukicancell zinarud tena nifanyaje kuzuia hili lisijitokeze manake zimekuwa zikinimalizia...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Hivi kuna uwezekano wa kuaunlock hizi modem maana ni tofauti kabisa na modem tulizozea kwa sababu haionyeshi port wala haina dashboard inatumia WEBUI ukiiplug inajikonnect yenyewe automatic...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
Unafikiriaje hii technology kupambana na rushwa na ufichaji wa pesa?
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Wapi naweza pata 3d glasses kwa Dar es salaam au mikoa ya karibu au nchi ya jirani ,, nahitaji in large quantity
0 Reactions
13 Replies
3K Views
bila shaka baadhi yenu hii logo si ngeni machoni penu. branding wise,hii ni moja kati ya logo inayonivutia.nikaweka nia siku moja nikipata wasaa nijaribu kui-recreate kwa mbinu na maarifa yangu...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
NAITAJI MWEYE UJUZI WA MAMBO YA WEBSITE PAMOJA NA SYSTEM NETWORKING, KWA AJILI YA MATUMIZI YA KISHULE ZAIDI.. NAPATIKANA MKOANI MUSOMA . N0 (0765813311)
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Wakuu, Nina modem ya Halotel nahitaji kuitumia kwa line zote.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu wangwana wa JF ,ni matumaini yangu kuwa mna afya njema , na kama ni tofauti na hivyo Mungu awape nafuu mpone haraka, Dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kufahamu sifa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Samahanini jamani, nimekuwa nashindwa kuzichukua baadhi ya video kwenye istagram, kwahiyo naomba msaada wenu mnijuze downloader itakayoniwezesha kupakua video bila shida.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada kwa yule anajua app nzuri ya kublock calls and txt for iphone and adroid
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Wataalamu naomba kujua kwa nini keyboard ya laptop, hp, split type haifanyikazi. Nikiweka keyboard remotely controlled inafanyakazi. Tatizo lake ni nini?
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Habarin wakuu, Msaada jaman, nmekua natumia trial software kuinstall data zangu, ila sasa mda wake umeisha na siwez ku acces zile data, zile data nmeziingiza nina zihitaji, msaada kwa mawazo nje...
0 Reactions
4 Replies
640 Views
Nina Desktop HP yenye Windows 7 ULTIMATE. Nimeconnect printer HP inaleta madudu haya: 1. Default printing inakataa- default printer connection inakataa 2. It does not print excell and Powepoint...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara ya mtandao wa youthnize. come anipe experience na mimi nijiunge
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Naomba mwenye program hiyo au msaada wowote wa kunisaidia kuweza kubadili PC games ili ziweze kucheza kwenye PS 2..Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naomben msaada wa programme nzuri kwa ajili ya utengenezaji wa Student ID pamoja na "photo entry" kwa ajili ya usajili wa Necta. Najua kwa hapa jf ni kisima cha maarifa.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba tutorial ya kufanya jailbreaking ya Ipad 3 ili niweze kuinstall applications za android humo
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja. Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mara nyingine ukienda inakuredirect kwenye site za kuinstall malware na Adware kama PC cleaner.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo!!juzi kati niliomba ufafanuzi wa hili jambo katika jukwaa halisi ya hii mada lakin sikupata ufumbuzi leo naona bora nililete huku munisaidie kuhusu hili jambo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom