Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana Jukwaa... Nina mdogo wangu anaishi Kibaha, natafuta mtu au fundi atakayeweza mfundisha Ku repair na Ku flash simu sina mbalimbali. Naomba uni pm please. Aliye maeneo ya Kibaha au...
0 Reactions
6 Replies
965 Views
We all have pet peeves. Some are rational, others may appear irrational to others. I am not sure where this registry trick falls into, but shortcut arrows on the desktop drive me crazy. There is...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Wadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa, nilikua naomba msaada wa ku-unlock modem ya kampuni ya ZTE k3772-z. Inatumia laini ya vodacom peke yake.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, Majuz nimenunu vitu vifuatavyo kwa ajili ya zoezi zima la kuunga ili nipate channel za FTA: 1. Dish la Gulf Star HD Ready la ft 6 2. King'amuzi cha HD Box 500 S DVB -S2 MPEG...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakuu habari, Msaada wenu kwa mwenye ujuz wa software ntakayoweza kutumia kurestore vitu nilivofuta. Ahsanten wakuu
2 Reactions
29 Replies
4K Views
itazame kwa umakini halafu share jibu lako. designed by me after being inspired by a certain logo of an international tv channel. any creative oriented question/opinion?.karibu tushirikishane,
0 Reactions
31 Replies
7K Views
habari wakuu, je how to fix this issue
0 Reactions
9 Replies
905 Views
Nimeshawahi kusoma maelezo mengi kuhusu kinachofanya ndege kuelea angani. Lakini nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo: -Kipi hufanya ndege kutembea chini wakati hakuna 'shaft' inayozungusha...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Mtandao maarufu wa kijamii WhatsApp wenye watumiaji zaidi Ya bilioni moja Dunia umeanzisha huduma ya mawasiliano ya video call kwa watumiaji wa smartphone za Android, ios na Windows...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Laptop yangu nikichomeka waya wa chaji Ile indicator ya chaji inawaka nakuzima na chaji haingii, tatizo hili limeanza muda sio mrefu ilikuwa inachaji vizuri nashindwa kuelewa tatizo litakuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Picha : Burj khalifa - Dubai #supermoon #burjkhalifa Mwezi mkubwa zaidi umeonekana leo sehemu mbalimbali Duniani baada ya kuisogelea dunia. Mwezi huu umeonekana mara ya mwisho mwaka 1948...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
WAkuu nina simu yangu ya LG g3 nashangaa nikiwasha inawaka kidogo then inajizima,,shida nini msaada.
0 Reactions
8 Replies
967 Views
restricted access changed. Data service is blocked hii notification inazingua ina block simu haziingii wala msg hata kuwasha data pia inagoma, natumia htc one m8 kwa anayejua namna ya kusolve hii...
0 Reactions
8 Replies
824 Views
Mi nimeshindwa kuhielewa hii cm kwani hata nikizima data lkn chaji inaisha haraka,na nikizima data inaandika 3G.Ni nini tatizo setting au kuna kitu kinasababisha?msaada wenu wadau.
1 Reactions
6 Replies
886 Views
Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Nina video ambayo ni 720p MP4 lakini chaa ajabu kwenye DVD player yangu haitaki kuplay na DVD inasupport MP4 msaana nifanyaje iweze kuplay Hizo video zipo kwenye Flash zingine zinaplay zingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu laptop yangu Samsung Np n100sp imevunjika kioo haionyeshi kitu Mwenye kujua wapi naweza kupata mtaalamu akanibadilishia kioo tafadhali anijuze
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom