Naombeni msaada wenu namna ya kufungua email kwenye simu yangu, najua hapa kunawataalamu ndio maana nimeona nisikae na tatizo langu moyoni, ni hayo tu jamani.
wakuu naombeni msaada downloading dpeed ya pc yangu ipo chini sana hata kama kuna mtandao mzuri naombeni mnisaidie kama kuna download accelerator nzuri
Habarini Wakuu, mimi nina wazo la Kufungua website yangu Hivi karibuni lakini nimeshindwa kuelewa Gharama Halisi ya Kufungua Na kuendesha Website, Pia N vitu Gani vya Kuzingatia Pia Ninapoenda...
Kumekuwa na watu wengi ambao wamekuwa wakilalamika simu zao kuwa slow wakiwa wanatumia na hivyo kushindwa kufurahia simu zao..
leo nitajitahidi kuelezea njia za kuweza kuzitumia kuwezesha simu...
Habari zenu.
Mimi ni mfanyabiashara wa kati, nahitaji software ya computer ambayo itaniwezesha kuhifadhi bei za bidhaa zangu (bei niliyonunulia, bei ya kuuza, bei ya mwisho n.k) msaada kwa...
Naomba msaada. Simu yangu tecno j8 inagoma kusaport whatssap na Facebook....kila nikijaribu kuingi whatssap inaniambia your not connected to internet ,try to connect if problem continue plz reboot...
Nielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything...
Mara Baada Ya Kuifanyia Hard Reset Imeshindikana Kumalizia Kufanya Initial Setup Kutokana Na Kushindwa Ku-bypass Wifi Connection. Option Ya Ku-Skip Hatua Hii Imeshindwa Kufanya Kazi. Msaada...
Ndugu zangu wana JF,
Hivi inawezekana ukampigia mtu simu kwa njia ya internet ikiwa yeye hatumii simu yenye uwezo wa internet ila ya kwako inayo? Simu yangu haina dakika ila ina MB nyingi tu!
wadau humu samahani.nisaidieni jambo hili, linakwamisha matumizi yangu ya internet. ni kwamba nataka kutumia internet kupitia wifi hotsport, ila inaulizia security na nikiiweka inaniambia ni...
Twitter wamenitumia hiiii email kwa email yangu With hundreds of millions of engaged users, Twitter can help you connect with your customers and find new ones. Whatever your business goal, it’s...
Google Pixel Phone IMETOKA MUDA SASA NILIKUA NAOMBA MAELEZO KUHUSU HII SIMU VIPI MAANA SIJAONA WATU WAKIONGELA HUMU JAPO MARA MOJA TUNAWEZA KUWEPOO HUMU WOTE NAKUELEZEA KWA UZURI WAKUU
Nimefiwa na Jirani yangu sasa ndugu wameomba Chonde chonde nifanye lolote account yake iweze Kufungwa hivi inawezekana kweli au Mpaka Niende Ubalozi wa Marekani Dar au Nipige Simu Ubalozi wa...
Habari za leo wakuu, jana nimerudi nyumbani kutoka kwenye mizunguko yangu, nmekuta mtoto wangu mdogo kaigonga TV na kitu ambacho kimesababisha kupata mipasuko midogo midogo ambapo sasa haioneshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.