Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari. Naomba ushauri wa kitaalamu ku-unlock simu ili niweze ondoa baadhi program zinazosomeka kichina.
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Nambeni mnisaidie jinsi ya kublock account ya Facebook.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya mchana naomba kujua video converter nzuri kwenye simu ambayo itanipeleka kwenye Mpg au avi
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Wadau naomba tujadili hii smartphone mpya ya TECNO PHANTOM 6+ , nasikia kua iko fast sana na ni very "handy", je kuna mtu ameipata na kuitumia atupe details kidogo ikoje.
2 Reactions
79 Replies
10K Views
heshima kwenu wana jamvi! nina simu tajwa hapo kioo kimezingua na siwezi kuafford bei ya kioo dukani hivyo naomba kama kuna mtu ana spare used tuongee biashara tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu.... Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.... Nna lengo la kufungua blog yangu ambayo itaweza kuniingizia kipato sasa swala lipo kwenye hatua za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Nashindwa kuiaccess flash inadai write-protection natumia window xp hvo mwenye kujua naomba msaada anifahamishe
0 Reactions
5 Replies
920 Views
Wadau nisaidieni.. Nishanunua luku ila kuingiza ndio tatizo..
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Mambo vipi Wapendwa Msaaada jamani bhandugu Kama una whasap + 2;3;4 kama unayo nitumie link naomba
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Kwa wale wanaotumia baadhi ya simu za lumia zinazosaport windows 10, ka umechunguza utagundua kwamba ile stock FM app imeondolewa kabisa. Sasa kwa wale wanaopenda kusikiliza traditional FM radio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huawei Ascend G6 inauzwa Price: Laki 3. Key specs: ☆ Screen Size : 4.50inch ☆Resolution : 540x960 pixels ☆ Processor : 1.2 Ghz ☆ Rear Camera: 8 MP ☆ Front Camera : 5MP ☆ Operating...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Habarini wakuu nimekuwa nikishuhudia mara kadha watumiaji wa Tecno wanaposhambuliwa na watumiaji wa simu nyingine ambazo wao hudhani ni za ubora wa juu wamekuwa wakijitetea na comeback yao imekuwa...
7 Reactions
419 Replies
36K Views
Msaada game la action ktk android zur
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Jaman naomba mnisaidie kupata game zuri la mpira kwenye cm yangu boom j8 na linapo patkana [emoji122]
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Wakuu natanguliza shukurani kwenu kwanza. Mda umepita sasa nimewasilisha namba yangu ya simu katika Thread ya jamaa ambaye alikuwa anahitaji kujua maana au kujifunza jinsi ya kuflash na kuunlock...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Simu ya galaxy s5 genuine ilifungiwa kipindi TCRA wanafungia simu feki hii ilitokana na kuwepo kwa clone iliyoiga IMEI yangu hivyo kusababisha kufungiwa..... Nilijaribu kuunlock nikaitumia kwa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
jamani naombeni msaada kwa anaejua duka au mahali ambapo na weza pata vifaa vya computer niko dar nataka kwenda k.koo kutafuta video card
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni kama kuna mtu anaejua namna gani naweza kuinstall gb whatsapp maana nimejibu nmeshindwa
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Mpaka kujaa inachukua masaa 12! huu mda si wa kawaida wakuu cjui tatzo nini? Mara nyingi nachaji usiku wakati nimelal [emoji26][emoji51][emoji56]
0 Reactions
6 Replies
736 Views
Wakuu Lg g2 yangu imesumbua touch screen digitizer....bei yake ni ipi na kufanya replacement pia Note:bei iwe affordable maana nshashindwana na mafundi wapigaji, Asanteni
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Back
Top Bottom