Wakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi.
.
Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara
Pia inatatizo la...
Naomba kuelekezwa namna ya setting ya cm yangu TECNO P6 ambayo huwa ina load previous sms nilizokwisha delete kwenye inbox, wakati setting yake ya ku load previous sms iko off.
Ndugu zangu wana JF nina TECNO H5, yani kila ninapopiga simu mwanga (brightnes) inajiweka off na ninapopigiwa yani nikipokea tu mwanga hujizima pia. Sasa inakua ngumu mno kukata simu yani mpaka...
NI NINI GRAPHENE
graphene ni material ya 2d yaliyotengenezwa kwa kutumia carbon, yana uimara mara 300 zaidi ya chuma, yanabend kama plastic ni magumu kuliko almasi na pia...
Hellow guys,
Napenda kutambulisha blogspot mpya kwenu inayohusu issues mbali mbali za teknolojia duniani,itakua inakupa kila taarifa mpya kila siku kuhusu ishu mpya kuhusu mambo mapya...
Habari ,
Hivi inakuaje niki bonyeza button ya kushare kwenye simu yangu inaenda moja kwa moja kutaka kutumia BLUETOOTH pekeeee? Haini options zingine kama ilivyo kuwa mwanzo.
Uki...
Habari wadau,
Naomaba kujuzwa namna ya kutoa hiyo
Custom binary blocked by FRP Lock kwenye simu
ya Samsung S6 edge Plus na Samsung J5.
kila nikijaribu kuhard reset au kuflash simu haifunguia...
Usi install anti-virus
Usifute application ambayo huijui na hujainstall mwenyewe (umeikuta ktk simu)
Hakikisha kabla ya kuitumia una update au kuweka Email na iwe valid!
Usidownload application...
Km screenshot zinavyoonesha
Hii simu inazingua suala la camera/picha/photos kila siku INSUFFICIENT SPACE wakati kuna memory card kubwa na cha ajabu inasave kwenye simu tu yaani SD vitu haviingii...
I'm happy to introduce to you an online system on which you will be able to book a bus from wherever you are at any time with no hustle(at your comfort).
We designed this system to simplify the...
Kwa wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuna jamaa yangu ana hii android box ameiunganisha kwenye TV sasa niliupdate kodi ambayo IPO kwenye TV box yake ila tatizo ninapofika kwenye install from...
Samsung galaxy s5s,sim iko katika hali nzuri sana,ni used na haikutumika sana tangia inunuliwe
Bei yake ya kuuza ni 480,000/
Kwa mawasiliano 0715591141..dsm
Habari za mchana wadau nilijaribu kudownload nyimbo za video kwenye simu yangu kupitia app vidmate baada ya hapo nikachomeka otg cable yangu na kuchomeka flash nikaziamishia humo baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.