Nashukuru mungu kunijalia kuweza kujiunga na jamii ya wa tanzania nimejaribu mara nyingi na mara zote sikufanikiwa inshala leo mambo safi jamani nikaribisheni mimi mgeni jamii forum
hi peoplessss!!!!!am american girl....i dont even know hoe to speak and write swahili but i have known some few words....though am not good in swahili even sometimes i dont really know what jf...
nmetoka kupma cna MALARIA wala co SUGU...
Me n kama tgo nawaambia,sote n ndugu..
Km nmeku-bore niambie wala ucwe BUBU.
Nna nymbo 25 ndo napendwa na wakna mwita..
Ofcoz am THE BOSS mpaka...
Hii naomba kukaribiswa kundini,nilikuwa ninatafuta habari za ukulima bora wa mahindi kwenye google,ndipo nilipokutana na na ndugu bennet ambae maelezo yake kuhusu ukulima bora wa mahindi...
Mie ni new member ktk hi site.Bravo kwa wote ambao ni wakongwe ktk site hii,napenda kupata changamoto mpya hapa JF za kidunia katka sekta zote za kimaisha.I knw we learn and geting experiens...
Wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo na hatimaye wakapata baadhi,je waliokosa na wana sifa kwa awamu ya pili, serikali ilaumiwe ama ndivyo mambo yana vyokwenda kwa kufarijiana kua bajeti...
Naitwa Vene, nikiwa humu. Nimefurahi kujiunga hapa ili kuelimishwa na kuelimishana na wana jf katika masuala mbalimbali yatuhusuyo wote. Tutakua pamoja na nashukuru kwa ukaribisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.