ndo nimeingia tuu leo humu mjini kwa wanajamii, nimevutiwa na watu wanavyochangia mambo ya kila cku yahusuyo matukio na maisha ya watu katika saisa , burudani , uchumi, michezo , maendeleo na...
Waungwana, mimi nachangiaga topic tu na nilikuwa sijajua namna ya kupost topic yoyote! ila leo nimebahatisha, sasa wanandugu naomba mnielekeze namna ya ku-attach picha, yaani hapa ndo ishu kwangu...
habar zen bhana wana JF,wakubwa shkamoon,wadogo marahaba na wale rika moja aisee ni nini?...this z my first post just for making intro,am xo xo happy to be a member in the house of great...
Wanajamii,
Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini.
Asanteni
heri kwenu wandugu, mods, mamemba na msio mamemba. nimelazimika kujiunga jf, kwa vile so far sijasikia tamko kuwa jf ina wenyewe. natania tu jamani, naombeni ukaribisho wenu!
Mambo vipi?
Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana.
Nashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.