Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi naingi fikiri mimi masikini wazani wangu nyumbani wamefulia bila hata tunda moja yereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naomba mruhusu nijumuike na nyinyi katika forum hii. leo ndio mara yangu yakwanza,,
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakubwa mi mgen hapa nshapitia site nyingi za kigeni but later nkaona bora nitafute site ya home! N i thnk jamiiforums ndo mahala penyewe panaponistahili! Thnx
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mie mgeni naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
12 Replies
927 Views
. Being upcoming Author, i find it more wise to be with you here JAMIIFORUM to exchange views and many more as deemed parmissible. As to my living Author, im releasing my first swahili novel...
0 Reactions
7 Replies
831 Views
NGO! NGO! NGO! HODIIIIIIIIIII! Jamani naomba mnifungulie mlango mimi ni mwenzenu. Nimeelekezwa kuwa mmo ndani jamani! Mwadela wa Bhabha na wa Mayo, mlimhola. Nimewaletea viazi toka Igunga
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninayo furaha kubwa sana kujiunga na wana jamiiforums. kitu kilicho muhumu ni kwa wana Igunga kutoendelea kufanya makosa yaliyowafanya waishi katika hali ya umasikini mkubwa sana.Niliwahi kuishi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
me ni mgeni jamvini jamani.nikaribisheni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf mgeni wenu naomba mnipokee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mambo vp members of JF,tupo pamoja katika kuendeleza gurudumu na chachu ya maendeleo kwa kukosoa mabaya na kuongelea mazuri hasa yaihusuyo nchi yetu Tanzania.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuja kwa jina la dushelele. Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis. Tuzidishe upendo. OTIS.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wana janvi, mimi ni new member! ningependa kujua maana ya Rep. Power!Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa, Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, Ninaomba mnipokee ili tuweze kushirikiana pamoja katika kulisongesha hili gurudumu. Ninaahidi kushirikiana nanyi kwa moyo mmoja sambamba...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hi
Habari zenu wana JF, nilitaka kukujulisheni nami nimejiunga rasmi nanyi. Hope mtanipa ushirikiano &uzoefu wenu.
0 Reactions
10 Replies
948 Views
Hello wanaJF humu ndani.Mimi ni member mpya ndani ya jamii forum.Natarajia kupata mawazo na taarifa mbalimbali zenye kunijenga kutoka kwenu.Ok thanx jamani
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jaman mi ni mgen naomba hifadhi humu jf.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nashukuru kuwa hapa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mie mgeni naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
aise nilikuwa wapi sijui kwenye giza coz nilikuwa na miss some matters ya msingi kutoka jF
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Swalama wakuu nimeona wengi humu watakua wanahitaji usafiri wa aina yoyote ile.....am here now
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom