wadau wa JF,habari za kwenu wandugu.nimekuwa guest mda wa kutosha.nadhani sasa mnikaribishe ndani kama ndugu yenu.
naombeni mnipokee kiroho safi wadau wa JF.
Hi?
Wanajf...
Habari zenu jamani...!
Naamini mpo poa sana hapa jamvini.
Nafurahi kuwa sehemu ya "team" hii katika kujenga taifa letu....
I like the great thinkers!
Nimezaliwa ndani ya wanajf,naomba kupokelewa ktk familia ya wanaJF! Nimekuja na kahawa ili vijana wasilale ktk ukombozi halisia.Je,kuna nafasi jamvini?
Ndugu zangu wana JF. amani daima.
Nimepiga hodi nikiashiria kuwa ndio najitosa mjengoni kwa mara ya kwanza nikiamini kuwa wana JF sote ni ndugu, basi sinashaka mtanipokea. Naomba ushirikiano wenu.
Ngo x 4...hodi,,,wenye boma ii..! nimekuja juzi toka shamba naombeni mnipokee,,! baada ya hapo naomba mnisaidie, nataka kubadili UZA NEM nifanyaje wahishimiwa.
nduguzangu wana jf. amani kwenu.
nimepiga honi na hodi vyotekwa pamoja hicho nikiashirio tosha kua sijui nianziewapi ila ninaimani kwamc kwakua wana jf, woteni ndugu basi sinashaka mtanipokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.