Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wanajamii wazima na mimi leo nimejiunga baada ya kuchungulia kwa muda mrefu natumaini tutasadiana katika mchango ya kujenga Taifa
0 Reactions
8 Replies
929 Views
Jamani natumia simu nashindwa kupost comments
0 Reactions
5 Replies
860 Views
Jamvini naomba kukaribishwa jama!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wandugu nabadili Avatar kutoka Na natumia rasmi Avatar ifuatayo hapa chini Hii ni kutokana na mgongano wa Avatar katika Post ifuatayo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani it feels so great to be a member of this forum...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Nifuraha iliyoje kuingia humu jamvini!daima pamoja nimekuja nami niwe mwanajamvi!kwa wenyeji naomba nipokeeni si unajua kuku mgeni eeh hakosi kamba mguuni eeh!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Am here to share with jf.lets get started
0 Reactions
5 Replies
794 Views
habari zenu humu ndani. Wahasibu wenzangu mpoooooooooo.... !!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijiti kimoja hakivunji chawa,hivyo nimekuja ungana nanyi wana fj wenzangu ili tuweze weka mambo sawa,,,,ni hayo tu.
0 Reactions
5 Replies
835 Views
jamani mimi sijielewi napenda nn kwenye mapenzi nahitaji wajuzi wanijuze ukizingatia mie mgeni humu ndani.. karibuni wenyeji mgeni nipone..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
am happy to be the part of this community..kindly accept my presence here....
0 Reactions
6 Replies
986 Views
Kwa jina naitwa Ufudu mtoto wa panga la shaba,sijaoa nafurahi kujumuika nanyi leo hii.Naomba kujua majukwaa yenye msisimko nianze kuyapitia.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I am a new member, hope will fit in the room!! Jambo wootee???
0 Reactions
8 Replies
865 Views
hi,
Nimefika nyumbani,am happy kufika hapa!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi!wana jf! Najitua pwaa kwenye jamvi lenu hivyo naomba sana mnipokee,wala msihofu sijatumwa na sirikali miee!
0 Reactions
7 Replies
825 Views
Nimekuwa nikikosa uhondo kwa muda mrefu,leo hiii nimeamua na mimi niwe nachangia mada mbalimbali wakuu.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi! Wana jamvi!nahitaji msaada wa mawazo yenu hivi nani mkali kati ya neyo vs chriss brown!acha mapenzi binafsi na kwa sababu zipi labda?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari kwa ufupi: kama kawaida, baada ya kupokea alawanzi kama walivyoahidiwa na mtaalam wa recruitment wa kundi lao.... wazee wa kujilipua ndani ya JF aka suicide bombers wametinga tena...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I have been an avid follower of this forum,now nimeona ni muhimu niingie kabisa jamani. So mnikaribishe!!
0 Reactions
4 Replies
751 Views
Nilijua tu utasoma hapa siku hii na saa hii. Niliyajua hayo tokea kupigwa misingi ya ulimwengu. I'm lofefm, a new MEMBER in JF. So we are together.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom