wakuu wangu nyote mlionitagulia, kwa nidhamu zote naomba mwongozo wenu pale mtakapoona nauhutaji/nitakapoomba.
I really need your cooperation..................
Mimi ni mshiriki mpya katika jamii kubwa hii ambayo ni darasa kuu la wanajamii ktk kuleta ufahamu kwa njia ya kuhabarishana yaliyo bayana na kweli ili kujenga jamii inayojitambua ilipo na...
Nimesikia mengi kuhusu jf. Nadhani huu ni mda wangu muafaka kujikita ktk mijadala mizito na kutoa coments zangu. Nategemea kufurahia na kujifunza mengi pia. Ahsanteni na naomba mnpokee...
Hii JF..nimekua nikifuatilia JF kwa muda mrefu bila kuwa na akaunt.
naomba kuingia kwenye jamii hii ya magreat thinkers.......
Binafsi nina tatizo ambalo muda si mrefu nitaliweka jamvini munipe...
wandugu naomba kuongezeka rasmi kwenye forum yenu... wasifu wangu; napenda mijadala yenye kutumia akili, ila nachukia sana michango ya wanaotumia ri-bu-sa-ma
Jamaniiiiii eeeh haba na haba hujaza kibaba na ukifika ugenini sharti ujitambulishe.....mime mwenzenu ndio kama hivyo.....naomba jamaniiii.....mi ni mwanaume haaaaswaaaa tena wa...
Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.