Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mwenenu wa kitaa nakuja kwenu mnipe maujanja zaidi ya strit
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeingia nyumbani msihofu tupo pamoja
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wana JF japo nilikuwa memba kwa muda mrefu sasa nimerudi kwa kishindo!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani na mimi hodiiiiii...........
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hv hawa tcu wanampango upi na taifa hili,wanapotoa second chance wkt hata hao wa awali hawajitambui,!wana JF tusaidiane
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hooodi wajumbe. Kiza kinene mwanzo mwisho mjengoni sasa! nipokeeni jamani
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hallow wana JF, I salute you all.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari za mchana wenyeji wangu mimi nimgeni nimejiunga jana,naombeni mnipokee.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf, naomba nivue viatu nikae javini tupeane habari na ekuelimishana. Nilikuwa mtazamaji sasa naomba niwe mchezaji
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania mzawa, dini yangu ni mkristo, mi ni mzaliwa wa pande za kaskazini, NAAMINI MAISHA NI SIASA NA MIMI NI MFUASI WA CHAMA KIMOJA KATI YA CCM NA CDM. naombeni mnipokee
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hodi mlikaya!!!
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Habar zenu wana jf na mimi nabisha hodi tafadhal nikaribishen!
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Nawasalimu woote kwa jina la muumba wetu
0 Reactions
5 Replies
842 Views
hello to all JF.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
naomba kuingia wadau,mimi ni mwanachama mpyaaa,nimependa habari za kusisimua kwenye JF
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Helo wana Jf, khabari zenyu bhaana..! It's me ur boy, nimechoka kuchungulia sasa nimeamua kubisha hodii..
0 Reactions
5 Replies
886 Views
Bil
Niaje wana JF mi mwanachama mpya naomba mnikaribishe jamani ni kichwa kipya toka Tz.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hey leds and gentlemen i greet u in the name of jamii forum as platform 4every counscious person 2air his/her views and am so interested to join plz may we be togather 2bring +ve changes in our...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
hi i hope fine
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawasalimu wote!!! Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa JF kwa miaka mitatu sasa.JF imekuwa chanzo muhimu cha habari kwangu!!! Kwa uamuzi na ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kujiunga ili kupata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom