Jamani nimekuwa naperuzi jf km guest na niliijua jf kupitia kwa dada yangu mpendwa na tokea siku nimeiperuzi kwa mara ya kwanza nikajilaumu kwa nini sikuijua tokea zamani. Jamani jf ipo juu sana...
Assama Alaikum jamaa. Huu ni utambulisho -- nimeingia JF kwa lengo moja tu: KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA MIKONONI MWA WEZI WANAOFADHILIWA NA KULINDWA NA CCM.
NAOMBA USHIRIKIANO WENU.
ASANTENI.
I would like officially to join this potential forum so as to increase my creditibility toward the upcoming challangable world of globalization! Kindly in need ur positive supports
Wakuu
Tunaambiwa kuwa tafuteni nanyi mtapata bisheni nanyi mtafunguliwa. Kwa minajili hiyo basi katika kiu yangu ya kutafuta maarifa nabisha hodi JF. Proudly Tanzanian
hodihodi waungwana asalam aleikhum walahma tullahi taala wabarakatu ,kwa kweli jamii f nilikuwan naickia tu kwenye kipindi cha uchaguz kuwa ni familia makini ..............ishalah nitadumu nanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.