Wana JF wote ninayofuraha kubwa sana leo hii kuachana na u guests wa JF na kuwa member kamili. Ni matumaini yangu nitajifunza mengi na kutoa changamoto nyingi kwa yale ninayo ya fahamu.
Pia...
Naingia kwa furaha, ukumbini nakaribia.
Nimechungulia kwa karaha, nikiwa nje nilikaribia.
Sikuweza kula raha, nilipotaka kukoment sikuruhusiwa.
Lakini leo naingia, chochote naweza kuandika...
KWA JINA NAITWA NDINDA, NAPENDELEA KUJADILI MAMBO YA MIPANGO MIJI NA PROJECTS MBALIMBALI ZA MAENDELEO NCHINI TANZANIA, PIA NI MEMBA KATIKA THREAD YA TANZANIA KATIKA SSC FORUM TANZANIA | General...
...Jina langu (la kalamu) naitwa Kalamunzu dia Zinguku. Nimezaliwa mwaka 1938, tarehe 2 mwezi wa sita (Juni) katika kisiwa cha Bermuda (kwenye pembetatu). Si kawaida sana kwa sisi watu wa Bermuda...
habari zenu jamani wana jamii,mimi ni mwana jamii mchanga ..ila wito wangu ni kwa sisi sote kuhakikisha tuna ibua changamoto zitakazo pelekea mabadiliko chanya ktk jamii yetu.
Mambo vp wana JF,mm ni mgen pande hizi naomben mnipokee niwe mojawapo kati ya wanajf,nimejiunga nanyi kutokana na mambo mengi mazuri mnayojadili humu nami sina budi kutoa thnx zangu kwenu kwa...
Kwa kweli nimefurahishwa na mada zinazozungumziwa humu ndani na pia member s mbali mbali wanaotoa michango yao yenye kusaidia na kuelimisha mawazo na maoni yenu ndiyo yamejifanya nijiunge kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.