Ndg zangu HODI,
Nimekuwa nikiisoma forum hii kwa kitambo na sasa nimeamua kudiriki kujiunga rasmi. Nimeingia hapa kwa kutumia uhalisia wa jina langu kwani naamini ni forum iliyo huru, wazi &...
Hi, I am new and I just wanted to let you know I have been a guest for a while and now I feel I need to be a member of this great forum. I am learning a lot of things as a guest and I am sure I...
Heshima zenu wanajamii!!, nimeamua kujumuika pamoja nanyi baada ya kuwa observer kwa muda mrefu, nimelisoma game na sasa tuwe pamoko katika libeneke.
natanguliza shukrani
Mimi ninaitwa Olecranon mtoto wa mzee Olecranon Fossa (sr). Nimekuwa ninafuatilia majadiliano katika forum hii na kuvutiwa sana na jinsi wengi wenu mnatoa michango mizuri hasa kuhusu hali ya taifa...
Hello wa kina Baba, Mama, Kaka, dada, na wadogo zangu salamu ziwafikie.
Najitambulisha kwa jina la DEKA mgeni ndani ya nyumba ya maarifa.
Nipokeeni kwa mikono miwili ktk Bustani hii ya mawazo...
Ningependa kuwa na marafiki wenye mawazo endelevu na wakufurahisha weza ukawa wewe,je naweza kuwa rafiki yako? Mimi bado mgeni kwenye safu hii,basi naomba ushirikiano nanyi.
Mwenzenu nimekuja JF kuona ujinga wenu mnaofanyaga kwenye hii web.
Mimi naitwa Chimpanzee naishi porini na chakula changu ni matunda na mizizi, ukinipa maziwa nashukuru sana.
Nahitaji...
ndani ya JF nawek thread for th first time,naombeni mnipokee. . nimekua nikisoma sn discusion za hapa JF,frankly speaking peoples in this forum are great thinker,this forum is exctly what active...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.