Hi all wakongwe na wasio wakongwe wa JF,
Nimekuwa nikipitia hii forum kwa muda mrefu sasa. Mwanzoni sikujua ni ya nini hasa, lakin nimekuja kugundua kuwa ni most useful kwani ni njia mojawapo ya...
Jamani naingia mtandaoni kwa salaam ya kisonjo,
Hapo Ommba! nawasalimia wanaume watu wazima na Nomma! kinamama watu wazima....ndicho cha pili nilicho ambulia kwa babu Samunge, Loliondo...
Naitwa Zakayo Olle-Shaudo, kutoka Ngorongoro.
Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii...
Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa...
habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini.
Asanteni mungu wabariki wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.