Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hakika mwenendo wa taifa letu tangu tupate uhuru miaka 50 iliyopita haileweki kwa kila kukicha. Maisha yamezidi kuwa duni na magumu. Kuwa na mfumo wa Kisiasa wa vyama vingi kigeresha. Kwamfano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi jamani humu ndani. Nipokeeni na mimi
0 Reactions
3 Replies
718 Views
Naomba karibishwa nipate pumzika.
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapendwa wa jf naomba kuingia kama ifuatavyo ................ Je, nakaribishwa!!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Niaje waungwana, natumaini mpo pouwah, haya jaman mm mgeni humu nafurah kuja humu kuwa pamoja nanyi, Naomba kupokelewa!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania mzawa, ninaishi Tanzania. Nimekuwa nikisoma majadiliano motomoto hapa JF kuhusu ukombozi na ujenzi wa Taifa. Mimi pia nimevutiwa kujiunga na JF ili niweze kuuliza maswali na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF naingia kama ifuatavyo ................. Je, nakaribishwa!!!!!!!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa wa jf naomba kuingia kama ifuatavyo ................ Je, nakaribishwa!!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
781 Views
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia asanteni na...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
glad to meet u guys...nashukuru kwa kuniingiza kundini..tutakuwa pamoja forever,thanx
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF. Nimejiunga rasmi na Jamii forum baada ya kuipitia na kuona uzuri wake. Naomba niwe mmoja wenu katika hii forum. Asanteni TheJoy
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani poleni kwa majukumu mimi ni mgeni naomba kuwa pamoja nanyi asanteni sana!naomba kuwasilisha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani naomba kuwa nanyi asanteni
0 Reactions
4 Replies
975 Views
Hello jf members. i'm new member.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
If i had ever been so over irritated,is when I'm ignored or underestimated in whatever I'm about to do,as i believe that i can enhance an unlimited power of human spirit which i have in me and...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani mawasiliano 'networking' ni jambo muhimu kwa dunia tunayoishi. Nawapenda wanajamii na naomba ushirikiano. Enjoy!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani habari zenu,....za hapa! Mgeni mie jamani naomba mnipokee!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi Mimi ni Tour operector niko Arusha nafanya safari za mbuga zote za wanyama pamoja nakupanda mlima.karibuni sana email.renson.maro@yahoo.com
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom