I feel honored to request to join you,
I believe that together we can be the best. I request that if I do well, help me; and if I do wrong, set me right. Sincere regard for truth shall be...
Jamani nimekuja rasmi naombeni ushiriakiano wenu katika nyanja zote.
Nilijiunga tangu mwanzoni mwa mwezi nilisahau kujitambulisha.
Thank you in advance.
Nilikua siifahamu hii site. Nimesikia kuna mambo mengi sana yana endelea hasa challenge mbalimbali za maisha na Serikali yetu hii tata. Naamini sijapitwa sana naombeni mnipokee wana jamii.
Wana-Jf, nimerudi tena. Nilikuwa nimepata ziara kidogo katika nchi za wenzetu za Scandinavia. Niliwa-miss sana. Nimerudi na ninadhani kwa uwezo wa Mungu wote(wanajukwaa) mu wazima wa afya.
Roman Catholic duniani wapo 1.166 billion, kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, jambo la kushangaza zaidi zile nchi zenye waumini wengi wa Catholic duniani ndio zinaongoza kuwa na masikini wengi...
Hi! I salute U all my fellow members in jf the home of Great Thinkers.
Today I'm very happy to have finally being able and accepted to join the community. It is my birthday in jf.
As a new...
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu...
Habari Wazalendo!
Mimi nashukuru na kufurahi sana kupata nafasi kwenye forum hii, nimeipenda. Naamini tukiitumia vizuri italeta mafanikio makubwa kwa nchi yetu, kisiasa, kiuchumi, kijamii na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.