Wana jf, naja jinsi nilivyo.
Mimi si malaika kwamba nisikosee, wala si taahira nisiweze kuchangia.
Naomba nirekebishwe na kukosolewa pale ninapokosea.
Naomba nipongezwe pale ninapofanya vizuri...
Naamini nimeiva kiasi cha kutosha kuchangia jamvini. Naamini kwa namna moja au nyingine nitashiriki kuijenga nchi yetu niipendayo.WanaJF naomba ushirikiano wenu.
:welcome:yah inakuwa ngumu kwa mara ya kwanza kama mtu unakuwa mpya ktk blog but through msaada naweza kushiriki mambo mengi nanyi kupiutia kwa blog hii wakubwa yah am a student of 2nd year at...
Hellow
Habari zenu wanajf, wajomba na mashangazi zangu naomba mnipokee ndugu angalau na mimi niweze kushiriki katika hili jukwaa na watu wanaoweza kudadavua mambo kwa ufasaha a.k.a Great Thinkers...
Hello everyone. Nina furaha kubwa kujumuika nanyi katika mjengo huu (JF) - kisima cha elimu. Natumaini mtanipokea na kunipa ushirikiano wa kutosha ili kwa pamoja tuijenge nchi yetu. Kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.