Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki
Mtunzi: Robert Heriel
WhatsApp 0693322300
Sehemu ya 1
“Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza...
Son of Tanganyika
How do you feel
When I call you a coward
How do you feel
When I call you a traitor
How do you feel
When I call you a betrayer
You have betrayed the land
The sons of our...
UGANDA CENTRAL ( +256)
Hili lilikuwa jina la kipindi cha ngoma za Uganda pale East Africa Radio miaka hiyo (sijajua kama bado kipo maana sisikilizi tena redio).
Umewahi kusikiliza muziki wa...
Ni huyu msanii wa injili ametokea kunikosha sana na nyimbo zake ila hii NIMEACHILIA ni ya moto sana...inagusa hisia sana za vijana tunayopitia...
Nyimbo ina liwaza, elimisha na inaponya.binafsi...
Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ?
Mke wa Blue amenukuliwa akisema;
"Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana...
Hapo zamani, kulikuwa na hadithi maarufu katika ulimwengu wa kufikirika wa bala la Westeros, ulimwengu wa series ya "Game of Thrones" iliyo zungumzia Usiku mrefu(the long night) na uwepo wa White...
MALKIA WA KUZIMU..... 01
MTUNZI: LOVI PIUS KIJOGOO
WHATSAP: 0757 238 304.
0622 738 310.
TANGA.
SEHEMU YA KWANZA
Baada ya miaka mingi kupita, bado alizidi kuikumbuka historia Mbaya na Chungu...
Habari zenu wakuu.
Kuna swali nilikuwa najiuliza mara kwa mara hasa nikiona CD za Kikorea zinauzwa kama nyanya mtaani. Nikawa najiuliza hivi wakorea wanapata vipi faida kwenye series zao? Maana...
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee.
Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
Kuna mtu aliwahi kuniambia Jina lake ni EDWARD SHEKIONDO lakini akalifanyia usanii akajiita EDDY SHEGGY. Namzungumzia kaka wa Christian Sheggy, mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Super Rainbow, na...
SURA YA KWANZA
28/3/1989
Ulikuwa ni msafara wa watu watano, wawili kati yao, pamoja na mimi mwenyewe,
tukiwa ni waandishi wa habari waajiriwa wa kampuni ya Film Tanzania ambayo
ilikuwa ni...
Wakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa
Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye...
Nipo nasikiliza nyimbo ya dini tumeletewa ya huyu msanii, hii nyimbo unaweza kufundishia mavyuoni kabisa na wanafunzi wakakuelewa nini ambacho mwalimu umekusudia kulenga.
Kuna ile inaitwa heshima...
I am not a qualified physician
And I dont want to give this
injection
I am not a qualified physician
And I dont want to give this
injection
Dorothy is begging for trouble
She insist I should give...
Wakati naaangalia filamu ambayo ipo Katika mfumo wa series inaitwa From the Scratch Kuna baadhi ya vitu nilianza kuvipata ambavyo kwa namna moja au nyingine nikaona kati ya watu wanaweza kutumia...
Kiukweli inanishangaza sana huyu chama mechi kubwa anakuwa kama panya aliye toswa kwenye bakuli la maji kalowa,hajiwezi kabaki kutapa tapa,shida ni nini uzee au pensheni zimemzidia?
" Asante kwa kujiunga nami leo. Leo, nataka kushiriki nawe hadithi - hadithi ya azimio, uimara, na kutafuta furaha. Ni hadithi inayogusa kila mmoja wetu kwa sababu, ndani kabisa, sote tuna ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.