wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee.
Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi...
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa.
Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile...
Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali..
Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao..
hata...
Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series
-Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1
-1080p zina GB 1.5 hadi 2
-Series za 720p zina MB 250 hadi 400
-1080p ni MB 500 hadi 800
************************************************
Sehemu Ya Kwanza (1)
Upepo na jua ni mahasimu wa toka zamani, mara nyingi ubishani wao wa kutaka kujionyesha yupi ni bora kuliko mwenzie, ndio...
Hello JamiiForums,
Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza...
Habari wana jukwaa,
Nime attach track yangu, naomba kuambiwa pa kurekebisha, nilikopatia. Nlipoharibu kabisa. Style yangu ni EDM ie Electronic Dance Music, Sub Genre: Melodic Bass.
Natumia FL...
Ni baada ya maneno mengi ya mipasho kutoka kwa muimba taarabu iliyochangamka a.k.a young lunya au mbuzi Kama anavyojiita yeye kwenda kwa young killer msodoki.
Naona this time around killer...
Khabarini wanajamvi.
Natumai mpo shuari.
Ifuatayo ni sehemu ndogo ya safari yangu ya maisha. Huwa nafikiria sana nijaaribu kuchangia walau kidogo katika kuelimishana na kupeana uzoefu kwenye...
Wakuu nakuja tena kwenu nikiwa nimechoka sana. Ngoja ninywe hata juice nipate nguvu ya kuwasimulia yaliyonikuta na yanayoendelea kunikuta.
Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 11 nilipokutana na mwanamke...
Wapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana...
Yeap,
Umesoma sahihi, Ni buree!
Ndio najua unajiuliza, “hii inawezekanaje?“
Ngoja nkwambie sasa, of course kuna a catch
Inabidi ujiunge na Publication inaitwa “Cinemalitics” Link hii hapa...
Miaka ya Nyuma katika kutangatanga siku hapo lang'ata Kinondoni.
Hawa Fm na Nyoshi anaimba hadija wako pale.
Nikamuona binti mmoja kakaa pembeni kajiinamia ni mzuri kweli.
Ndio Giselle.
Namuuliza...
Nimefungua thread hii maalum kwa ajili wapenzi wa nyimbo za oldskool, miaka ya '90s kurudi nyuma. Unaruhusuwa kuomba wimbo wowote wa oldskool wa nje (sio bongo fleva), na tutaweka hapa. Hii ni...
Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali.
Nimejaribu pia...
SALAAM...!
Natumai muwazima kabisa. Well...!
Clouds FM (CMG) ni Radio iliyoleta mapinduzi katika huu muziki wa kizazi kipya na hata miziki mingine, tangu ilivyosemwa kuwa muziki wa Bongo Flavor...
Leo ni siku ya kiswahili duniani. Maktaba app ingependa tuanze kusomea moja ya kitabu kipatikanacho ndani ya Maktaba app. whatsapp 0715278384.
UTANGULIZI 12 Nokora mpumbavu
Hali ya Mtumwa...
It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako...
Kwanini Mimi[emoji24][emoji24] ep [emoji2388][emoji2390][emoji1370][emoji1370]
SIMULIZI YA MAISHA: KWANINI MIMI? 02
MWANDISHI : MIKA AUTHOR
MSAMBAZAJI: Simulizi za Gilbert
MAWASILIANO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.