RIWAYA: JANGA
MTUNZI: richard MWAMBE
SEEMU YA 1
I
Saa 5: 7usiku…
DAR ES SALAAM
MVUA ILIYOAMBATANA NA RADI iliendelea kunyesha kwa hasira katika jiji la Dar es salaam, hakukuwa na nyota hata...
Mtangazaji wa kituo cha redio cha East Africa Radio kwa zaidi ya miaka 13 akitambulika hasa katika kipindi cha Planet Bongo, Abdalah Ambua a.k.a Dulla planet Ambua ameachia wimbo wake wa kwanza...
Miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa na tabia ya kwenda bichi, haswa ile beach ya msasani kupitia pale chole au kwenye kituo maarufu kinachojulikana kwa jina la Macho {kutokana na hospitali maarufu ya...
Habarini wadau nimepata wazo la kutengeneza muvi linalomuhusu yule jamaa wa kisomali na kichwa cha habari hapo juu ndio jina husika.
Lakini kabla ya kuingia mzigon nimeona nije kushea na wanangu...
Kumekua na utamaduni kwa baadhi ya wafadhili, kufadhili timu hizi pacha kwa wakati mmoja ( Simba na Yanga) mfano mzuri, ni Bia ya Kilimanjaro, Sport pesa CRDB, POSTA BANK(hawa wote wamewahi...
Wazee walio sema SOMA! elimu ni adhina isio pokonywa walikua sahihi sana..
Watu wadini pia wanalao wanasema usimtegemee mwanadamu kwasababu binadamu hufa ..
Wote tunajua kua ugali wa Haji...
Je simu yako Ina uwezo wa ku run game zenye nafasi kubwa kuanzia 1GB na kuendelea!??
Nakupa list ya game nzuri kwa huu mwaka 2021
1:TRAINZ SIMULTOR 3
2:OFF ROAD TRUCK
3:..........
Fuatilia hii...
Ni kwa namna gani mtu anaweza kutengeneza kama film yenye viwango vya juu pia vile vile yenye na maudhui mazuri ili kuwavutia watazamaji wa kazi hio, mtu anatakiwa atumie mbinu zipi kuhakikisha...
Kwa Jinsi ligi kuu bara ilivyoanza na jinsi ushindani unavyoendelea ni mambo mazuri sana. Nazipongeza sana Club ndogo kwenye ligi hii ambazo watanzania wengi walizoe kuona zikifungwa magoli Mengi...
Yule Mjivuni akamsogelea Umsolopogas aliyekua amesimama kwenye njia ya kuingilia nyumba ile walimofikia na mizigi yao, akamwambia 'Wee Mtumwa hebu nipishe nipite nimesha wapa habari ya ujumbe wa...
Grave of the fireflies. Animation ya kijapan ya mwaka 1988. Kijana mdogo akiwa na mdogo wake anapambana kusurvive wakati wa WWII. Da'Vinci Paula Paul mmewahi icheki hii.
MUZIKI WETU.
----------------------
ALBAMU 50 MAARUFU ZILIZOUNG'ARISHA ZAIDI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA. (BONGO FLEVA)
Bado tunaendelea kuwaletea mwendelezo wa Makala zinazozungumzia kumbukumbu za...
Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo...
Simulizi: MPAKA KIELEWEKE
Mwandishi: NIRA SAIRE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.