1: KING KIKI vs NGUZA VIKING vs ALLY ZORRO
2: BEYONCE vs RIHANNA
3: LADY JAY DEE vs RAY C
4: P FUNK vs MASTER J
5: TUPAC vs BIGGIE
6: NAS vs JAY Z
7: PROFESSOR JAY vs Mr 2 SUGU vs AFANDE...
NYIMBO ZOTE ZILIZOKO "YOU TUBE"
kwenye account ya (MusicPress) ni Production zangu mwenyewe za Video kwa mikono yangu pia Nyimbo zote kwenye account yangu You Tube (DJ. Don Nalimison) nimegonga...
FAIR PLAY
(Mchezo wa kirafiki)
Sehemu ya................01
Saa 2:30 Asubuhi, ZAMBE.
Gari aina ya Land cruiser lilikuwa likienda kwa kasi sana katikati ya mji wa Nzambe.
Ndani ya gari hilo...
Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana.
Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama...
Habari za usiku.
Huu wimbo wa Vitalis Maembe umenichekesha baadae ukanifikirisha sana.
Kaisari tumempa chake na vyetu anachukua...
Huyu kijana ni hazina sana, mashairi yake yanafikirisha zaidi...
Ni moja ya kazi nzuri ya msanii kevin hart
Humu ndani namna gani baba alivyopambana kumlea mtoto katika mazingira yeyote hata akiwepo kazini Kevin hart kauvaa uhusika vizuri kabisa 100 percent...
Ndungu zangu kuna nyimbo zitaendelea kuishi miaka yote yaan. (NYIE WA KISASA SIKILIZENI NYIMBO ZENU WE MPELEKEEE MOTO NAISI ATA WATOTO ZENU WATAPELEKEWA MOTO IVO IVO)
Antlantic starr-always...
Hadithi hizi zinapatikana katika kitabu Someni kwa furaha kitabu cha kwanza. Unaweza kuzisoma na nyingine nyingi bure ndani ya Maktaba app(by pictus), Icheki playstore.
Kalume-Kenge...
Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar
Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo...
Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na...
This is a story that has circulated on the internet for some time. I don’t know the author. I found it to be sweet and touching. –
***
When I got home that night as my wife served dinner, I held...
Rapa Kendrick Lamar ameandikisha nyimbo mpya 30 ktk taasisi ya kusimamia haki za kazi za sanaa za wasanii nchini Marekani ikiwa ni matayarisho ya kutoa album yake ya mwisho chini ya lebo ya TDE...
Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii.
Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu.
Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii...
Hapo zamani za kale ,alikuepo baba mmoja alikua akiishi na kijana wake wa kiume , kazi ya mzee ilikua ni fundi mwashi,
Miaka ilisogea na uzee ulibisha hodi na kijana alizid imarika siku hadi siku...
Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU)
Mwandishi: JOSEPH SHALUWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
*****
SEHEMU YA 1 KATI YA 50
Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.