Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Morning guys hii movie nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio huu ni mwendelezo wa avatar the last airbender part 1 hii ni part 2 Naweza ipata kwa website wazee mnipe muongozo
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha wewe mdau unaependa burudani, muziki katika Studio zetu mpya kabisa kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flava. Pia Masauti Entertainment Tunafanya Music...
2 Reactions
1 Replies
816 Views
HADITHI YA KUSISIMUWA NCHI YA WACHAWI -1 Picha za Juu mfano wa picha za bunduki za kichawi. "Kwa jina naitwa Israeli, lakini si yule mtoa roho za watu, hili ni jina ambalo linapatikana...
31 Reactions
147 Replies
288K Views
SIKU NITAKAPOKUFA ..01 AUTHOR: NEXT LEVEL. Katika kila maisha ya binadamu kuna sehemu tunapitia na kukutana na majaribu ya kila aina mbalimbali, lakini kuna kuzaliwa kuishi na kufa, lakini Mimi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Simulizi: BEYOND LOVE (ZAIDI YA MAPENZI) Mwandishi: 2JIACHIE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 YA 50 Tom aliheshimika na kutisha, hakuna mtu aliyechezea shughuli zake kutokana na...
3 Reactions
75 Replies
45K Views
Vipi ndugu zangu? Kumepoa heeee? Kwa kipindi hiki cha hili gonjwa linalotunyima uhuru basi hakuna namna. Inabidi tufanye simulizi fupifupi zailizokuwa zinafanywa kwenye gazeti la Heko. Nitacopy...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hadithi hii ni tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe, iliyoandikwa mwaka 1719 na muandishi muingereza, Daniel Defoe, miaka ya sitini ilitafsiriwa kwa kiswahili. Nitaiweka hapa yote, pia unaweza...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
TOUJOURS OK (OK JAZZ FOREVER) CHORUS Balobaki eeh bilobaloba tolembi eeh! (Those who gossiped about Mangwana we are now tired of your gossips) mobuki lokuta na ndoki se moto moko! (because...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu majamaa kwa idadi ya muvi zao ambazo nimekucheki mpaka Sasa no. Bongo na flava, Giza la mchana Chafu tatu Fisi weusi Mchepuko Ishu ya simu Siku za arosto(hii iliandaliwa kwa siku1 nazani...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Essence mpaka kuingia kwenye Charts za Billboard, #WIZKID ametangaza remix ya wimbo huo akiwa amemshirikisha #justinBieber. - - #BIEBER Ameonekana Kufurahi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
#ETrending Achana na kuvunja rekodi zake mwenyewe kufuatia kuujaza Ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu mfululizo, staa wa muziki nchini Nigeria ambaye kwa sasa amekuwa midomoni mwa mastaa wakubwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
BOKE’S ANGEL Written by David Samson Ngocho 0629077792 'Boke, come! Come here sweet darling. How are you?' That was Aunt Gake Mokami's voice calling Boke, and that's how Boke was lured into Aunt...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana...
1 Reactions
4 Replies
932 Views
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano, Bora zaidi 1. Anajikosha. - Harmonize 2. Mama Amina - Marioo...
10 Reactions
59 Replies
15K Views
Money Heist naona wanataka kutubakiza tu kuwafuatilia. Season 5 imeisha ila bado wapo pale pale walipoishia Season 4. Mbaya zaidi Tokyo nae amekufa, team ya Professor inapigiwa mwingi sana.
5 Reactions
10 Replies
2K Views
JANGA Eeh uliye kwenye mawingu, uliye mkubwa kuliko wote, tunaomba utusalimu kwa mwanga wako ili tujue iwapo u-hai. Eeeh Ingatambo mungu wa nchi yetu, tusaidie. Hiyo ilikuwa ni sala iliyotoka kwa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Dar es salaam , Katika jiji la dar es salaam uwezi kuwataja wanawake uwezo kipesa ukamkosa kumtaja veronica butimba kutokana na kujitolea kwake kusaidia jamii hasa watu wasio jiweza utajiri...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Ingizo jipya kwenye burudani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom