Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Men, unaweza kumwambia mwanaume mwenzio "I Love You"? Embu chukua simu yako nenda kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi mwandikie rafiki yako wa Kiume, Anza na salamu, umwambie you Love him then...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
a thread for all DJs and Mcs around East Africa to show their performance content and cross share ideas among us during this hard times.welcome all🙏🙏🙏
2 Reactions
4 Replies
614 Views
Kwa heshima na taadhima namleta kwenu kijana wangu Imuh Zuzu na ngoma yake ya Endelea. Ni upcoming artist bado ana safari ndefu sana, hivyo nawaomba support ngoma yake hii kwa kuisikiliza tu na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Are you ready to run the show? You want this, don't front Que Que Que... Speak up cual es la cosa... Ven aqui let's get closer and closer... Bite your lips cause you know that you feel it...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha. Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
August Alsina kuacha kufanya muziki? Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki. - Ktk...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtangazaji wa Wasafi TV, Mo Town Sanya kahama Wasafi TV kwenda Clouds Media. Wataalamu wa hizi kazi iko ikoje hii? Nasubiri comment zenu.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Ukiangalia TV ya wasafi 95% ya vipindi vyao wamecopy na kupest kutoka EATV Hata redio yao kwa kiasi kikubwa wamekopi earadio Ukiondoa ile logo ya W ukawa unaangalia tv utajua unaangalia EATV...
8 Reactions
81 Replies
15K Views
Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari. Naomba Ushauri humu Kuhusu gharama za uanzishaji wa redio inayo cover eneo Dogo kama wilaya tu. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Habari zenu wakuu humu jamvini. Nisiwachoshe wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Muda huu naandika uzi huu nipo hapa Forty Forty Tabata Bima, ila kiukweli watu tuliopo hapa ni wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii nakuja kwenu kuwaomba kwa mwenye nyimbo za kundi la bongo fleva la hard blasters crew(HBC) lililokuwa linaundwa na Niger J,Fanani na Big Willy ambazo ni 1.Funga kazi 2.Tuko nyuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RIWAYA: BOMU MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU: 0652 212391 Sehemu ya Kwanza DANIEL Mwaseba aliamka ghafla kutoka katika usingizi aliodumu nao kwa saa zisizozidi tatu. Alifumbua macho kwa haraka huku...
8 Reactions
218 Replies
69K Views
MJUE MBILIA BEL Mbilia Bel (Mbilia Mboyo, Marie-Claire), Marie Claire Mbilia Mboy, maarufu kama Mbilia Bel alizaliwa jijini Kinshasa, tarehe 14 Agosti, 1959 au Januari 10, 1959 tatizo linakuja...
3 Reactions
33 Replies
15K Views
Kwa wale wapenzi wa series pitia hii link utapata series zote unazohitaji kwa kutumia simu yako ya mkononi tu. KUMBUKA: Jambo la kuzingatia ni kwamba unapoingia kwenye web hii tumia operamini na...
5 Reactions
27 Replies
12K Views
Moja ya villains bora kabisa katika cinema.
2 Reactions
7 Replies
786 Views
Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika vipaji vikubwa katika bongo fleva bas ni pamoja na huyu dogo Marioo, kwa muda mrefu muziki wetu umekuwa ukienda kwa mihemko ya uteam na kufanya wasanii wakali wachukuliwe poa. Ila safari...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom