Kwa hizi takwimu TFF Watueleze inamaanisha uwezo wa uwanja wa Mkapa ni mkubwa kuliko Estadio Camp Nou F.C. Barcelona ambayo inabeba mashabiki 99,354 au Rungrado May Day Stadium wa huko Korea ya...
Nyanja: Mahusiano
(Siyo tukio halisi)
Wateja wa mgahawa mmoja wa chakula unaoitwa Kowak 4 Star Motel ulioko Ingri-Juu Wilayani Rorya wamefikishwa kituo cha Polisi baada ya kupigana vibaya sana...
Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia.
Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu...
MAJUTO NI MJUKUU
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza...
Nitashambuliwa ila ukweli na uongo havipikiki chungu kimoja,leo Simba Day imepoa sana ndugu zangu,nnaweza kutafsiriwa vibaya ila Ona hali ilivyokua saa 2:00 Asbh siku ya Wananchi na hali ilivyo...
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.
Basi tutumieni hili...
Shairi: Tumejaliwa sana sisi
Tanzania,Ngao yetu umoja
tumeshikilia, heri tujiulize nyi
watazania, vipi malengo yetu
tumezingatia.
Kiitikio: Mawazo ya Mwalimu
yameshatimia, kudumisha umoja
ndiyo...
Niko tu mi baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli nilishe nishibe
Kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza...
Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza...
Habari wakuu
Mimi ni mshabiki sana wa games hasa hasa mobile games sababu muda mwingi napata free nikiwa kazini kuliko nikiwa kwangu
Nilikua najaribu kutafuta mashabiki wenzangu kama wapo...
Habari za mchana WanaJF filamu pendwa imeshaachiwa Unaweza Sogea Netnaija.movie kwa Uchumi huu wa tozo Netnaija.movie Mkombozi wetu [emoji39]
Kama Uliangalia Dont Breath part 1 ya mwaka 2016 basi...
Kuanzia wiki ijayo Wasafi Media wanatarajia kuanzisha kipindi kipya cha asubuhi kitakachoruka kuanzia saa 11 asubuhi asubuhi mpaka saa 1 na nusu asubuhi, hii ni katika kuboresha na kuzidi kuijenga...
Msimu mpya wa onyesho kubwa na la ukweli barani Afrika, Big Brother Naija, unaanza kuonyeshwa leo Jumamosi na Jumapili na waandaaji wakiahidi onyesho kuwa kubwa na bora zaidi kuliko hapo awali...
Jana kwenye Dstv chaneli ya Maisha Magic Bongo nilishuhudia movie inayoitwa 'hornet' nafikiri inarushwa kwa ufadhili wa Marekani, actors ni Wamarekani wenyewe ila imewekewa maneno ya Kiswahili...
BAKI NA MIMI
Email: halfanhamis337@gmail.com
Yusto alimaliza kusoma ujumbe huo kutoka kwa Brandina wenye utani ndani yake, akainua macho yake akamtazama Caren akakuta nae anamtazama.
"vipi"...
#Repost CNN @download.ins
---
FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October, in an effort to find out whether the size of a movie's budget impacts its scariness...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.