Wakuu wale wapenda Hip Hop ngumu za asili mtu mzima Nas Escober ameachia album yake Kings Disease II
Mwaka jana aliachia KD1 na ikafanya poa ikampatia Grammy Award kama album bora ya hip hop...
Wakuu ninaomba anayejua huu wimbo aniambie, unapigwa sana kwenye kipindi cha Salaam cha Voice of America kama kibwagizo.
Una mahadhi ya Caribian huko.
Unaanza na dancee dancee
Naomba anaeujua...
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja...
Wakuu
Hivi ndio wamecopy kwa wazungu ama wingi wa makaburu umechangi? Yaani kila tamthilia ya kisauzi utakayoingalia lazima wachomekee au kuweka character ya shoga mmoja
Mbona kama wanahamasisha...
Think of it like this; everyday we wake up in the morning and have a cup of tea! A hot, steamy cup of tea! Yes! Sometimes we burn but sometimes the heat does not really affect us because we have...
Pole na mihangaiko ya hapa na pale ili kutafuta chapaa Tusogeze maisha basi wikiendi baada ya bata ni movie
list ya movie zangu za wikiend hii ya jumapili
A Gangster A Cop and Devil : ni movie...
Unapoandika mswada [script] kuna vitu vitatu vya msingi kuzingatia:
• Muhusika (character)
• Muundo (plot)
• Dhamira (theme)
1. TUKIMZUNGUMZIE MUHUSIKA KWANZA
Mswada wa filamu una sehemu kuu nne...
Salamu ndugu zangu na wakubwa shikamooni.
Kutokana na kifo cha Albert Mangewa na Mez B pia kiongozi Noorah hafanyi tena music sababu za familia.
Wanachemba tuko wengi sana na tunaweza chama letu...
Hii ngoma ya Kaligraph nimegundua inaongozwa kufanyiwa remix kipi kimevutia wasanii. Kama kaligraph na ye alicopy beat sehem na je original version yake Ni ipi? ngoma gani nyingine unayoijua...
Ni miaka mingi tunaendelea kuona movies zinazoigizwa kuhusu mazombi na mavampire kiasi kwamba watu wengi hata watoto wanaamini kama vitu hivyo vipo live na wamekariri kweli kweli.
Je ni kweli...
intermittent explosive disorder ilimtafuna vilivyo, udogo wake hakuufaidi sababu ya maradhi hayo, hakuna aliependa kumkalia karibu bila sababu,
Watoto wenzie walimtenga, wazazi wake wakamshindwa...
Binafsi hawa ni ma legends ninaowakubali
1. Avenged sevenfold
2. Death punch
3. Nickeblack.
Haya nawewe tupiamo hapa ngoma ya heavy metal ili tupate na experience na pia ni mwanamuziki gani unamu...
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi.
-Living Pablo
-Narcos season
-El Mariachi...
Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini.
Tokea...
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?
Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...
Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes...
Mwanadada mmoja alikuwa na tatizo flani yaani anashindwa kujicontrol kwahiyo mpaka aipige shoti yaani kuna kifaa kimeunganishws kutoka kwenye mgongo kwahiyo akihisi awezi jikontrol anabofya kitufe...
Nimetafuta kwenye mitandao lakini wapi nakutana na trailer hii movie ni kali Walianza seting tokea 2018 Lakin nashangaa mpaka leo sijaipata Full movie
Mwenye anajua namna ya kuipata anijuze na...
Baada ya kuiangalia hii video kwa mda mrefu nimeona leo nitoe dukuduku langu moyoni, hii video hadi sasa imefikisha views millioni 750 youtube, wameishoot Uganda uswazi kabisa
Yaani ukiiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.